Ufuta na huu upepo wa korona. Je, kuna faida mwaka huu au tujiandae na maumivu?

jombi95

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,404
2,156
Wakuu, Wakubwa, Wakulungwa.

Kwa upepo huu wa korona na sisi tunaolima mazao ambayo yanategemea soko kutoka nje ya nchi, mwaka huu kutakuwa na neema kweli kama mwaka Jana.? Au tujiandae kisaikolojia tu.?

Naona kama kuna dalili za kama mwaka juzi kwenye bei ya mahindi na mbaazi.
 
Tatizo la wabongo baada ya kuona watu wamepiga sana hela kwenye ufuta mwaka jana wakaamua kukimbilia kulima ufuta. Hapo cha muhimu ni kujiandaa kisaikolojia maana hamna namna sasa.

Capo Dei Capi
 
tatizo la wabongo baada ya kuona watu wamepiga sana hela kwenye ufuta mwaka jana wakaamua kukimbilia kulima ufuta. Hapo cha muhimu ni kujiandaa kisaikolojia maana hamna namna sasa.

Capo Dei Capi
Tatizo umasikini mkuu inabidi kupiga kila angle nafasi ikipatikana
 
Soko usiogope maana wengi ufuta umemalizwa na mafuriko.

So usiwe na shaka kama zao limekubali.
 
Na Beijing imeingia lockdown...wakulima tuna hali ngumu SANA...

Everyday is Saturday......................... :cool:
 
Back
Top Bottom