Tuombe tu Mungu.... Nimeumia sana hearing that 99.99% ya chuo gals wanafanya ufuska.... Kwa wanawake ambao hawajapitia chuo ndo malaika?bado kipenzi
Alizaa na Mme wake au...!!kuna dada mmoja alikua kisu kwel kipind tuko chuo alikua kaolewa katika kipind cha miaka mitatu tuliokaa pale yule dada alipata ujauzto mara mbili na akajifungua zote.
We umeridhikaHamlindiki nyie
only umpate tu mwanaume muelewa na sio hawa wenye akili za kukaririshwa et kila bint aliepitia chuo kafanya umalaya..wapo waelewaTuombe tu Mungu.... Nimeumia sana hearing that 99.99% ya chuo gals wanafanya ufuska.... Kwa wanawake ambao hawajapitia chuo ndo malaika?
Tunapewa sifa ambazo aint ours...
Iv ukiambia ulete evidnce ya uhakika na picha utaweza? Useme chuo gani hall gan wanapojiuza hao wana dip na certificate................................wasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalaaaaaaaaaaaaam............
Slogani za Wana Ndani ya miezi pendwa na siku mujarabu yenye tukio bora miongoni mwake la Eid El Hadji..kwa Ndugu zangu waislamu Barakatul La Eid ...
Huwa Kuna Jambo huwa Lanisikitisha na Hata kuniogopesha Sana hasa nikikumbuka Maisha ya chuoni na yale ya ndani ya Hostel zake. Vyouni Kuna ufuska sana tena umekithiri kwa kiwango cha Zege, metal zinafanya Wala haziogopi na hata kukumbuka kabisa kuwa yuko mahali gani na anafanya nini, Vyuoni ni sehemu ambayo kama ulikuja na Couple yako ni ngumu kudumu nayo Maybe uipige Chupi ya chuma na Hata kama ulikuwa na Demu wako ama Hata mchumba au mkeo ni Dhahili shaili utamkosa na kama utakuwa nawe basi juu kabisa jamaa washapiga sana mitindo huru, tena kavukavu na kwa uhuru.
Vyuoni ni sehemu mabinti wanajiuza mchana bila woga, hasa hivi vibinti vya dip na Certificate vinaburuzwa sana ,sometime mpaaka inakuwa too much, vyouni waweza akaja bint na mchizi room mwishowe huyo bint akaburuzwa na Roommates wote mpaka.
vyuoni ni sehemu ambayo binti anakuja na upako anaondoka na ukurutu mwili mzima, uliojaan kila aina ya makorombwezo,
Laiti wazazi wao wangekuwa wanajua wanayoyafanya watoto zao vyuoni daah sidhani kama wangewaruhusu..
my take: kama kijana mwenzangu una mchumba ambaye anategemea kwenda chuoni andaa kabisa backup maana huyo sio wako otherwise wote muwe pamoja muda mrefu. na kama una mke unategemea akapige chuo kama inawezekana mvungie tuu maisha ndo haya haya hakuna kuyaogopa.
Mi cjawah toa ata moja na nko chuo..... Na tunaoonaga kwenye mitaro uswaz watoto wametupwa ni wewe umetoa?Wanawake wa chuo wanachoniudhi wanatoa mimba sana ili waendelee kuchuna wanaume haijalishi hata kama mwanaume ameonesha interest ya kumuoa.
Wahuni sana
Namimi umenitukana??? Au ni kiranja tuundo mambo ya kwenu hayo.umalayaa tu.sio kila mwanamke ni kama dada zako na sio kila mwanaume ni kama wewe..eid njema mwaya!
Mi nakumbuka kuna madem wanapgwa sana nawakufunzi tena ole wenu demu apendwe namkufunzi alaf azingue mtasapu darasa zima au we boyfriend wakesio wote mm nilitoka chuo bila kumpenda mtu yeyoteee si kwamba maombi hayakuwepo basi sikuona wa maana afu wengiii malaya wanazungukana hilo lilinipa kichefuchef
nakumbuka kuna wakaka walikuwa wanauliza vip mshikaji wako yuko wap ila mpaka namalizavhawakujuaga siri yangu, kila aina ya uchafu iko chuo watu wanakunjana hadi bwenini? afu hawaogi eti wanajipangusa loh
chuoni hakuna cha ma lecture au maprofesor wote ni balaa
na wewe pia.muoneNamimi umenitukana??? Au ni kiranja tuu
Mmmmmmmmh
ok
Back to our topic.....
we t.a.k.o kweliBack to our topic.....
Enhe ipo au haipo???
Haaah Queen, mumie ngoja nikueleze kitu kama kweli wewe ni miongoni mwa wachache walobahatika kwenda shule na kufika chuo , basi umejionea , wanaofanya ufuska huu, level zote za kuanzia cert mpaka degree, nimekaaa miaka minne chuoni nimejionea, na hata kushuhudia ...so kama wewe haujaviona hivi naimani utakuwa , kipofu.Iv ukiambia ulete evidnce ya uhakika na picha utaweza? Useme chuo gani hall gan wanapojiuza hao wana dip na certificate....
Na hao wanunuzi uandike takwim zao na kama ni wazee...vijana...wanachuo au wafanyakazi... Na hao wanunuzi ni wakike au wakiume... Maana some issues tunaongea tu bila takwim halisi
Natamani saana ila DistanceDuh vp sasa uendelezi game ?