Ufuska Vyuoni

Ufuska Vyuoni

tzfanatic

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
626
Reaction score
382
.........wasaaaaaaaaaaaaaaaaaalaaaaaaaaaaaaam..........

Slogani za wana ndani ya miezi pendwa na siku mujarabu yenye tukio bora miongoni mwake la Eid El Hadji kwa ndugu zangu waislamu Barakatul La Eid.

Huwa kuna jambo huwa linasikitisha na hata kuniogopesha sana hasa nikikumbuka maisha ya chuoni na yale ya ndani ya Hostel zake. Vyuoni kuna ufuska sana tena umekithiri kwa kiwango cha zege, metal zinafanya wala haziogopi na hata kukumbuka kabisa kuwa yuko mahali gani na anafanya nini.

Vyuoni ni sehemu ambayo kama ulikuja na couple yako ni ngumu kudumu nayo Maybe uipige chupi ya chuma na hata kama ulikuwa na msichana wako ama hata mchumba au mkeo ni dhahiri shairi utamkosa na kama utakuwa nawe basi juu kabisa jamaa washapiga sana mitindo huru, tena kavukavu na kwa uhuru.

Vyuoni ni sehemu mabinti wanajiuza mchana bila woga, hasa hivi vibinti vya dip na certificate vinaburuzwa sana, sometime mpaka inakuwa too much, vyuoni waweza akaja binti na mchizi room mwishowe huyo binti akaburuzwa na Roommates wote mpaka.

Vyuoni ni sehemu ambayo binti anakuja na upako anaondoka na ukurutu mwili mzima, uliojaa na kila aina ya makorombwezo, laiti wazazi wao wangekuwa wanajua wanayoyafanya watoto zao vyuoni daah sidhani kama wangewaruhusu.

My take: Kama kijana mwenzangu una mchumba ambaye anategemea kwenda chuoni andaa kabisa backup maana huyo sio wako otherwise wote muwe pamoja muda mrefu na kama una mke unategemea akapige chuo kama inawezekana mvungie tu maisha ndo haya haya hakuna kuyaogopa.
 
Wengi wanaofanya mambo hayo wengi ni wale ambao hawajazoea maisha ya uhuru..kwahiyo akishaoneshwa viwanja viwili vitatu anashtuka na yule waliekuwa na ahadi anatupwa kwenye Dustin
 
Wengi wanaofanya mambo hayo wengi ni wale ambao hawajazoea maisha ya uhuru..kwahiyo akishaoneshwa viwanja viwili vitatu anashtuka na yule waliekuwa na ahadi anatupwa kwenye Dustin
Yaaah!!!! na hawpendi la kusikia wala kuambiwa
 
Hata ukifanyaje utakuta una oa aliyesema so cha msingi usifikirie aliwahi kupitiwa na wangapi hapo nyuma.Tena wengine kabla ya kuolewa anakuja kupigwa miti kwa mara ya mwisho...wenyewe wanaiita kuagana.
 
sio wote mm nilitoka chuo bila kumpenda mtu yeyoteee si kwamba maombi hayakuwepo basi sikuona wa maana afu wengiii malaya wanazungukana hilo lilinipa kichefuchef

nakumbuka kuna wakaka walikuwa wanauliza vip mshikaji wako yuko wap ila mpaka namalizavhawakujuaga siri yangu, kila aina ya uchafu iko chuo watu wanakunjana hadi bwenini? afu hawaogi eti wanajipangusa loh

chuoni hakuna cha ma lecture au maprofesor wote ni balaa
 
Back
Top Bottom