The Pen
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 755
- 261
Threads (pros and cons) khs tiba ya "Babu" zimekuwa nyingi mno. Kwa maoni yangu, ufupisho wa hizo zote ni huu:
- Wapo wanaoona kuwa kupona ni kupona tu, kwa njia yoyote iwayo.
- Wapo wanaoona kuwa kupona ni sharti kuwe kwa jinsi imani zao (za kidini, nk) zinavyoruhusu.
- Wapo wanaoona kuwa kupona ni sharti kuwe kwa namna sayansi inavyoruhusu.