Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,991
- 831,561
- Thread starter
- #61
Tatizl kubwa ni kwa binadam kutoitambua kesho yake ikoje! Wanaopotea walau wanajua waliko sasa hivi! Giza kuu ni kwa wale wanaowapoteza na kuwanyamazisha wenzao, hofu yangu ni moja tu, wanaijua na kuitambua kesho yao itakuwaje? Au wamepigwa upofu ili maandiko ya manabii na mitume yatimie!!?