Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,025
- 42,348
Hahahaaa hata mimi nakuona pia mbona hujanijibu kule mkuuNakuona London
Hahahaaa hata mimi nakuona pia mbona hujanijibu kule mkuuNakuona London
Sijui chochote naomba unijibu swali languWewe unafikiriaje!
Ni jukumu letu sote kwa umoja wetu bila kujali tofauti zetu.. Mkubwa amwombee mdogo.... Mdogo amwombee mkubwa bila kinyonga bila fadhaa bila tahadhari bila taharuki bila agenda isiyoakisi uhalisia bali kwa weledi kweli na kumaanishaLakini si ni vizuri baba mwenye nyumba akaanza kutubu kisha ndio watoto nao wafuate
Ni jukumu letu sote kwa umoja wetu bila kujali tofauti zetu.. Mkubwa amwombee mdogo.... Mdogo amwombee mkubwa bila kinyonga bila fadhaa bila tahadhari bila taharuki bila agenda isiyoakisi uhalisia bali kwa weledi kweli na kumaanisha

Habari za kuondosha madhabahu za giza... Au za kuondoa laana ya visasi kwenye ardhi na kufisha nguvu ya vita vya kiroho na kafara za visasi ni jambo kubwa gumu na lenye kuhitaji kujitoa taifa zima... Na hili litawezekana tu kama tutaamua kuvaa mioyo nyofu ya nyama na kuachana na kiburi na kuwa tayari kwa toba na msamaha kwa njia ya kusameheana ili kuua roho ya laana na kisasi
Watoto tupo tayari kwa hilo, kwasababu tunapenda kuishi kwa amani daima, hatupendi mifarakano hata kama inatokea mama zetu ni tofauti, TATIZO LIPO KWA BABA YEYE NDIO WA KUSHAWISHIWA ILI AONGOZE SALA HII YA TOBAHabari za kuondosha madhabahu za giza... Au za kuondoa laana ya visasi kwenye ardhi na kufisha nguvu ya vita vya kiroho na kafara za visasi ni jambo kubwa gumu na lenye kuhitaji kujitoa taifa zima... Na hili litawezekana tu kama tutaamua kuvaa mioyo nyofu ya nyama na kuachana na kiburi na kuwa tayari kwa toba na msamaha kwa njia ya kusameheana ili kuua roho ya laana na kisasi
Aaamen... Nakupongeza na kukushuru pia kwa kuwa mchangiaji wa kwanza... Ni baraka kwakuwa umeanza kwa Kukemea... Barikiwa zaidi







Sio yeye ndio tatizo... Sisi ndio hatujawa tayari.... Wengi hawawezi kushindwa na mmojaWatoto tupo tayari kwa hilo, kwasababu tunapenda kuishi kwa amani daima, hatupendi mifarakano hata kama inatokea mama zetu ni tofauti, TATIZO LIPO KWA BABA YEYE NDIO WA KUSHAWISHIWA ILI AONGOZE SALA HII YA TOBA
pengine wakati huo tutakuwa tumeukomboa wakati... Pengine kutakuwa na maridhiano na kutakuwa hakuna kupotea kwa wanakaya tena... Kwa wingi wake.. Pengine hofu haitakuwepo tena juu ya mateso juu ya usalama juu ya kupotezwa..... Pengine kama njia ya kuponya majeraha na kutamatisha muhali tutaambiwa fulani alizikwa pale.. Fulani alitupwa kule... Pengine tutaambiwa....

Sorry kwa picha lakini ndio kiwakilishi cha uhalisia... Tunaishi zama za madubwana ambayo kiingereza yanaitwa vampires... Lakini je tunapaswa kulaumu? Jibu ni hapana yatoakeayo ni unabii unaopaswa kutokea.. Nguvu iliyo juu ya uwezo wa kawaida wa kibinadamu kuzuia...Ee Mungu tufumbue macho wanao ili tujue na kuona yaliyofichwa nyuma ya pazia jeusi.
Huu uzi nimeuona tangu saa 8 usiku ila picha uloiweka ndugu Mshana Jr na maneno hayo yaliyomo yalinitisha sana. Nikalala tu.
Umeongea mambo mazito mno na pengine wengi hawatambui kama yapo haya.
Unapoona umeshinda na kulala na kuamka salama. Mshukuru sana Mungu wako kwa maombi na sala nzito ya kumaanisha.
Nguvu na uwezo wa kujikinga tunao ndugu Mshana Jr, tatizo ni kwamba tumemsahau na kumuacha Mungu muweza yote anayetupatia hiyo nguvu.Sorry kwa picha lakini ndio kiwakilishi cha uhalisia... Tunaishi zama za madubwana ambayo kiingereza yanaitwa vampires... Lakini je tunapaswa kulaumu? Jibu ni hapana yatoakeayo ni unabii unaopaswa kutokea.. Nguvu iliyo juu ya uwezo wa kawaida wa kibinadamu kuzuia...
Taharuki na kichokoo cha yote haya ni pale baada ya kutangazwa mshindi wa kiti cha nafasi ya juu... Na yule wakala aliyekuja nchini akakanyaga ardhi yetu bila viatuNguvu na uwezo wa kujikinga tunao ndugu Mshana Jr, tatizo ni kwamba tumemsahau na kumuacha Mungu muweza yote anayetupatia hiyo nguvu.
Tuko busy na Pesa, kazi na mapenzi. Ibirisi naye kwa kuhofia kupoteza waumini wake kakazia hapo hapo!!
Pesa - noma sana sana
Kazi - noma sana,
Mapenzi - hapa ndiyo usiseme sasa.
UNATUMIA VIBAYA JINA LA CHRISTO. TUNAISHI KATIKA KIPINDI CHA ROHO YA MAUAJI, UTEKAJI NA UTESAJI.HIVYO HATUNA BUDI KUMRUDIA MUNGU NA KUMWOMBA ATUEPUSHE NA HAYA MABAYA.Ushindwe na ulegee kwa jina la kristo yesu
Nakuona unamtangaza lucifer kwa nguvu zote. Ushindwe kwa jina la yesu
Aaamen... Hayo yanaitwa matumizi mabaya ya rasilimali Mungu...UNATUMIA VIBAYA JINA LA CHRISTO. TUNAISHI KATIKA KIPINDI CHA ROHO YA MAUAJI, UTEKAJI NA UTESAJI.HIVYO HATUNA BUDI KUMRUDIA MUNGU NA KUMWOMBA ATUEPUSHE NA HAYA MABAYA.