Ufunguzi wa barabara ya Dodoma - Babati

Ufunguzi wa barabara ya Dodoma - Babati

Kuna watu hawajui wadhifa wa vyeo vyao, ningekuwa Diamond ningemkaribisha kwenye uzinduzi wa Karanga zangu.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Acheni ukilaza,hiyo barabara,imejengwa na world bank,serikali zenu hazikutia hata peni
Hao World Bank wanawezaje kufanya kitu pasipo kuishirikisha serikali husika?? Kibali pia ni mchango wa serikali Mkuu.
 
Kuna watu hawajui wadhifa wa vyeo vyao, ningekuwa Diamond ningemkaribisha kwenye uzinduzi wa Karanga zangu.
Weshajua mwenye cheo hicho anapenda kiki za guta..........wanawaruka wahusika wanaona sifa hata bucha zao zikizinduliwa na mpenda kiki....nae atakuja tu. Mawaziri msihofu mimi nikizindua kale kamradi kangu (Nje ya Nchi - maana najua mpenda kiki hatokuja) ntamualika waziri husika.
 
Dbhon8iW0AA6TW6.jpg:large
Kwani Maandamano ya Muungano yatakuwa yameisha?
 
Raisi atakuja kufungua pia barabara ya Iringa Dodoma ambayo kwa sasa inazibwa viraka pale nduli jirani na airport
Hii iko vizuri sana,features zake,hasa yale maeneo ya Nyan'goro,dakika takribani 30 unacheza na kona kali za kufa mtu...
 
Dah, Arusha Iringa masaa 6 tu. Hongera serikali ingawa imechukua muda mrefu sana kukamilika
 
Serikali ikifanya vizuri mm natoa pongezi.Barabara wamejitahidi kwenye kipindi cha miaka 10 hivi iliyopita.Hiyo ya Dom-Babati niliipita mwezi huu,iko poa sana na kona zake hatarishi
 
Anapenda kuchukulia kiki kwenye miradi ya wenzake!
 
Back
Top Bottom