habarini wadau..
Viwanda vinahitaji ujuzi na ujuzi unapatikana veta...
zama hizi ni vizuri kuwa na skills nyingi nyingi... sio za kukaa bure bure kutegemea kitu kimoja..
veta ina short course nyingi sana.. ambazo zinaweza msaidia kijana kujiajiri..
wenye wadogo zenu waliomaliza form 6 wanasubiri kwenda vyuoni october, graduates msio na ajira, vijana mlio vijiweni pia.. waajiriwa mtakaopenda pia.. mnakaribishwa sana Veta kwa mafunzo tofauti..
idara yangu inakukaribisha kwenye mafunzo ya tshirt printing... na kuna idara zingine pia zina mafunzo mengi mengi tofauti kama umeme, ufundi magari, mapambo maharusi, keki, video, photography, hair dressing, welding, carpentry, etc...
VETA NI ZAIDI YA CHUO KIKUU TUKIONGELEA PRACTICAL LEARNING