Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,435
- 166,891
Kukatika Sana kitandani au kulala Kama gogo hakuna mchango wowote Kwenye kuimarisha ndoa yako. Kinacho dumisha ndoa ni masikilizano,
maelewano, kuthaminiana, kuaminiana na kuvumiliana. Kama kukatika Sana kungekuwa ni msingi wa ndoa imara, basi ndoa za Wamakonde ambao ndio machampion wa nyonga,
wanaosomea na kufundishana kukatika na kufanya matusi tangu utotoni, ndoa zingekuwa imara kuliko za Wachagga ambao wanatajwa Kuwa ndio mabingwa wa kulala Kama magogo ya mikambokambo.