WAKABAMBEE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 605
- 275
Nimekumiss hadi nimeku misplaceha ha ha vere true....
Nimekumiss hadi nimeku misplace
Kukatika Sana kitandani au kulala Kama gogo hakuna mchango wowote Kwenye kuimarisha ndoa yako. Kinacho dumisha ndoa ni masikilizano,
maelewano, kuthaminiana, kuaminiana na kuvumiliana. Kama kukatika Sana kungekuwa ni msingi wa ndoa imara, basi ndoa za Wamakonde ambao ndio machampion wa nyonga,
wanaosomea na kufundishana kukatika na kufanya matusi tangu utotoni, ndoa zingekuwa imara kuliko za Wachagga ambao wanatajwa Kuwa ndio mabingwa wa kulala Kama magogo ya mikambokambo.
Mleta mada hujawahi kukutana na mafundi. Unachezeshwa TOTAL FOOTBALL yaani team inakaba na kushambulia kwa pamoja. Lazima utangaze ndoa
Hawa wachagga mnavyowaandama.
miss chagga😉sio kila Mchagga hajui kazi. Ukibahatika kumpata miss chagga lazima ukome. Miuno, niguno, mistaili, miutundu na mikilakitu
nemulo :smile-big:
Am happy...