Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

Junius

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
3,183
133
A HEALTHY sex drive will leave you peaking in more ways than one.
A survey by the American Association Of Retired Persons reveals:

People who have a lot of nookie experience health benefits which can leave them in much better physical form than those who don't.

Sex can help fight flab, ward off colds and make you live longer.

Jennifer Bass, of sex research centre The Kinsey Institute, says: "There is definitely a correlation between health and sex. If you are healthier, you are going to have more sex.

"Making love provides a cardiovascular workout and floods the body with feel-good chemicals."

Here JANE SYMONS shows how a little – or even quite a lot – of what you fancy does you good.
Kiafya

Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75. Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani.

Kuongeza mwendo wa damu
Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji.

Msukumo thabiti wa damu mpya yenye oxygen na homoni zenye chembe chembe hai zinapopenya kwenye mishipa ya damu husaidia katika uunguzaji wa chakula, pia huondoa kiasi cha uchafu ambao ungesababisha mishipa na kushindwa kufanya kazi na kumfanya mwanadamu apate maumivu ya mwili.

Hupunguza mafuta yenye kileo (Cholesterol)
Tendo la ndoa huweka sawa uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na cholesterol mbaya na wakati huo hupunguza kwa ujumla kiasi cha mafuta yenye kileo mwilini.

Kupunguza maumivu
Wakati wa kufanya mapenzi, homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo husababisha kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo hupunguza maumivu kama vile kuvimba sehemu za viungo (arthritis) maumivu ya shingo (Whiplash) na maumivu ya kichwa.

Ulinzi wa tezi ya kibofu (mwanaume)
Majimaji yanayozalishwa katika tezi ya kibofu (prostate) yakizidi husababisha kuleta matatizo mwilini. Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji hayo yenye madhara. Mabadiliko ya ghafla ya tendo la ndoa huelekea kuleta matatizo yahusianayo na tezi ya prostate.

Kupunguza mfadhaiko wa moyo
Kujitosheleza na kupumzisha mwili baada ya tendo la ndoa ni muhimu kwa kutuliza akili na kurekebisha mzunguko wa damu mwilini. Watu wenye kushiriki tendo la ndoa wanatajwa kushinda mfadhaiko na kupata usingizi mnono hasa mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi.

Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume(testosterone) na za kike (Oestogen).
Faida nyingine inayopatika ni kuongeza uzalishaji wa homoni za kiume na za kike likiwemo suala zima la msukumo wa kufanya tendo hilo ambapo mhusika hutosheka zaidi ya yule ambaye hana mazoea ya kufanya mapenzi. Hata hivyo, baadhi ya madaktari wamegundua kwamba ongezeko la homoni za kiume/ kike huweza kuwakinga wanadamu na magonjwa ya moyo.

Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijana
Wakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwili mzima. Hii husaidia msisimko wa mapenzi kuongezeka. Kutokana na elimu hiyo DHEA ni kemikali yenye nguvu duniani ambayo husaidia kuweka sawa kinga ya mwili, huongeza ufahamu, kuimarisha mifupa, kutengeneza na kuimarisha afya na kuimarisha mishipa ya moyo (Cardiovascular).

Hupunguza baridi na mafua
Elimu inaonesha kuwa wanaofanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki huongeza 30% ya uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili ziitwazo Immunogloulin A ambazo huwa na kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa. Hizo ni faida chache tu za kufanya tendo la ndoa.

Wakati mwingine nitawaletea hasara za kufanya tendo hilo mara kwa mara. Jambo kubwa la kuzingatia ni kuwa faida hizi hupatikana kwa ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na hofu ya kufumaniwa au kuumbuliwa. Ndiyo maana nikasema ni maalum kwa wanandoa tu.

MAKE IT OR BREAK IT
Nauliza kama kuna madhara yeyote kwa kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu
A- KWA MWANAMKE
B- KWA MWANAUME
Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo. Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko) inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's brain iniciated.

Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:
 • Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
 • kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
 • Kusahausahau,
 • Kupendelea story za mapenzi,
 • Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
 • Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
 • Kuumwa na kichwa,
 • Kukakamaa mgongo (wanaume),
 • Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
 • Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
 • Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
 • Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
Feb 09, 2014
Utafiti uliofanyika Canada hivi umebainisha kuwa kufanya tendo la ndoa kipindi cha dk 25 kwa wanaume kunachoma kalori 100,na kwa wanawake kolori 69.

Tendo hili likifanyika kwa nusu saa linaweza kupunguza kalori za mwili kuliko kutembea kwenye mashine ya mazoezi "treadmill" ni sawa na kucheza mpira au tenisi au kutembea ukipanda mlima kwa kwa dakika 20 au kucheza gofu kwa kasi kwa dakika 33 au zoez la yoga kwa dk 40.

Inaelezwa kuwa mbegu za kiume hazitakiwi kukaa mwilini kwa mda mrefu, zinatakiwa zitolewe mara kwa mara ili kuzifanya seli mpya zizalishwe.

Kwa wanawake tendo la ndoa husaidia kuundwa kwa misuli ya nyonga ambapo misuli hiyo ikiwa imara huondoa hatari ya kushindwa kuzuia mkojo.

Wanawake wanapofika kilele cha tendo hilo, damu utembea kutoka katika ubongo, jambo ambalo uondoa maumivu ya kichwa.

*Chanzo cha habari ni gazeti la Mwananchi
 

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
626
am trying to add more info on this artilce.....


Is Sex Necessary?

Alan Farnham Alan Farnham,

Fans of abstinence had better be sitting down. "Saving yourself" before the big game, the big business deal, the big hoedown or the big bakeoff may indeed confer some moral benefit. But corporeally it does absolutely zip. There's no evidence it sharpens your competitive edge. The best that modern science can say for sexual abstinence is that it's harmless when practiced in moderation. Having regular and enthusiastic sex, by contrast, confers a host of measurable physiological advantages, be you male or female. (This assumes that you are engaging in sex without contracting a sexually transmitted disease.)

In one of the most credible studies correlating overall health with sexual frequency, Queens University in Belfast tracked the mortality of about 1,000 middle-aged men over the course of a decade. The study was designed to compare persons of comparable circumstances, age and health. Its findings, published in 1997 in the British Medical Journal, were that men who reported the highest frequency of orgasm enjoyed a death rate half that of the laggards. Other studies (some rigorous, some less so) purport to show that having sex even a few times a week has an associative or causal relationship with the following:

- Improved sense of smell: After sex, production of the hormone prolactin surges. This in turn causes stem cells in the brain to develop new neurons in the brain's olfactory bulb, its smell center.

- Reduced risk of heart disease: In 2001 follow-on to the Queens University study mentioned above, researchers focused on cardiovascular health. Their finding? That by having sex three or more times a week, men reduced their risk of heart attack or stroke by half. In reporting these results, the co-author of the study, Shah Ebrahim, Ph.D., displayed the well-loved British gift for understatement: "The relationship found between frequency of sexual intercourse and mortality is of considerable public interest."

- Weight loss, overall fitness: Sex, if nothing else, is exercise. A vigorous bout burns some 200 calories--about the same as running 15 minutes on a treadmill or playing a spirited game of squash. The pulse rate, in a person aroused, rises from about 70 beats per minute to 150, the same as that of an athlete putting forth maximum effort. British researchers have determined that the equivalent of six Big Macs can be worked off by having sex three times a week for a year. Muscular contractions during intercourse work the pelvis, thighs, buttocks, arms, neck and thorax. Sex also boosts production of testosterone, which leads to stronger bones and muscles. Men's Health magazine has gone so far as to call the bed the single greatest piece of exercise equipment ever invented.

- Reduced depression: Such was the implication of a 2002 study of 293 women. American psychologist Gordon Gallup reported that sexually active participants whose male partners did not use condoms were less subject to depression than those whose partners did. One theory of causality: Prostoglandin, a hormone found only in semen, may be absorbed in the female genital tract, thus modulating female hormones.

- Pain-relief: Immediately before orgasm, levels of the hormone oxytocin surge to five times their normal level. This in turn releases endorphins, which alleviate the pain of everything from headache to arthritis to even migraine. In women, sex also prompts production of estrogen, which can reduce the pain of PMS.

- Less-frequent colds and flu: Wilkes University in Pennsylvania says individuals who have sex once or twice a week show 30% higher levels of an antibody called immunoglobulin A, which is known to boost the immune system.

- Better bladder control: Heard of Kegel exercises? You do them, whether you know it or not, every time you stem your flow of urine. The same set of muscles is worked during sex.

- Better teeth: Seminal plasma contains zinc, calcium and other minerals shown to retard tooth decay. Since this is a family Web site, we will omit discussion of the mineral delivery system. Suffice it to say that it could be a far richer, more complex and more satisfying experience than squeezing a tube of Crest--even Tartar Control Crest. Researchers have noted, parenthetically, that sexual etiquette usually demands the brushing of one's teeth before and/or after intimacy, which, by itself, would help promote better oral hygiene.

- A happier prostate? Some urologists believe they see a relationship between infrequency of ejaculation and cancer of the prostate. The causal argument goes like this: To produce seminal fluid, the prostate and the seminal vesicles take such substances from the blood as zinc, citric acid and potassium, then concentrate them up to 600 times. Any carcinogens present in the blood likewise would be concentrated. Rather than have concentrated carcinogens hanging around causing trouble, it's better to evict them. Regular old sex could do the job. But if the flushing of the prostate were your only objective, masturbation might be a better way to go, especially for the non-monogamous male. Having sex with multiple partners can, all by itself, raise a man's risk of cancer by up to 40%. That's because he runs an increased risk of contracting sexual infections. So, if you want the all the purported benefits of flushing with none of the attendant risk, go digital. A study recently published by the British Journal of Urology International asserts that men in their 20s can reduce by a third their chance of getting prostate cancer by ejaculating more than five times a week.

While possession of a robust appetite for sex--and the physical ability to gratify it--may not always be the cynosure of perfect health, a reluctance to engage can be a sign that something is seriously on the fritz, especially where the culprit is an infirm erection.

Dr. J. Francois Eid, a urologist with Weill Medical College of Cornell University and New York Presbyterian Hospital, observes that erectile dysfunction is extension of vascular system. A lethargic member may be telling you that you have diseased blood vessels elsewhere in your body. "It could be a first sign of hypertension or diabetes or increased cholesterol levels. It's a red flag that you should see your doctor." Treatment and exercise, says Dr. Eid, can have things looking up again: "Men who exercise and have a good heart and low heart rate, and who are cardio-fit, have firmer erections. There very definitely is a relationship."

But is there such a thing as too much sex?

The answer, in purely physiological terms, is this: If you're female, probably not. If you're male? You betcha.

Dr. Claire Bailey of the University of Bristol says there is little or no risk of a woman's overdosing on sex. In fact, she says, regular sessions can not only firm a woman's tummy and buttocks but also improve her posture.

Dr. George Winch Jr., an obstetrician/gynecologist in Elko, Nev., concurs. If a woman is pre-menopausal and otherwise healthy, says Dr. Winch, her having an extraordinary amount of intercourse ought not to pose a problem. "I don't think women can have too much intercourse," he says, "so long as no sexually transmitted disease is introduced and there's not an inadvertent pregnancy. Sometimes you can have a lubrication problem. If you have that, there can be vaginal excoriation--vaginal scrape."

Women who abstain from sex run some risks. In postmenopausal women, these include vaginal atrophy. Dr. Winch has a middle-aged patient of whom he says: "She hasn't had intercourse in three years. Just isn't interested. The opening of her vagina is narrowing from disuse. It's a condition that can lead to dysparenia, or pain associated with intercourse. I told her, 'Look, you'd better buy a vibrator or you're going to lose function there.'"

As for men, urologist Eid says it's definitely possible to get too much of a good thing, now that drugs such as Viagra and Levitra have given men far more staying power than may actually be good for them.

The penis, says Eid, is wonderfully resilient. But everything has its limits. Penile tissues, if given too roistering or prolonged a pummeling, can sustain damage. In cases you'd just as soon not hear about, permanent damage.

"Yes," says Dr. Eid, "It is possible for a young man who is very forceful and who likes rough sex, to damage his erectile tissue." The drugs increase rigidity; moreover, they make it possible for a man to have second and third orgasms without having to wait out intermission.

"I see it in pro football players," says Eid. "They use Viagra because they're so sexually active. What they demand of their body is unreasonable. It's part of playing football: you play through the pain." This type of guy doesn't listen to his body. He takes a shot of cortisone, and keeps on going. And they have sex in similar fashion."

There's a reason the penis, in its natural state, undergoes a period of flaccidity: That's when it takes a breather. The blood within it is replenished with oxygen. "During an erection," explains Eid, "very little blood flows to the penis. During thrusting, pressure can go as high as 200 mil of water. Zero blood flows into penis at that time." To absorb oxygen, the tissue must become relaxed. "If you do not allow the penis to rest, then the muscle tissue does not get enough oxygen. The individual gets prolonged erections, gets decreased oxygen to tissue, and could potentially suffer priapism." (We recommend you get a medical encyclopedia and look it up.) "The muscle becomes so engorged, it's painful. Pressure inside starts to increase. Cells start dying. More pressure and less blood flow. Eventually the muscle dies. Then there's scarring. That's why it's considered an emergency."
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
10,293
5,857
mh
nadhani siamini sana ktk hilo ila kuna wanaopata nafuu pia
 

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,243
39
the benefits definitely outweigh the losses/negatives.....i love the feel good feeling ouch!!!
 

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,123
691
Hivi nilisikia akina mama wakiwa na wapenzi wengi ni rahisi zaidi kupata kansa ya uzazi! Je hii ni kweli?

je sex is good kwa kuwa na mpenzi mmoja au wengi kama Jacob Zuma au King Mswati?
 
Last edited:

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,748
7,756
Hivi nilisikia akina mama wakiwa na wapenzi wengi ni rahisi zaidi kupata kansa ya uzazi! Je hii ni kweli?

je sex is good kwa kuwa na mpenzi mmoja au wengi?

....swali zuri. Katika swali la nyongeza ambalo ni la kitaalamu zaidi; kuna uhusiano gani baina ya multiple partners na fibroids, myoma nk kwa kina dada wa siku hizi? mauvimbe hayo yamekuwa kama 'fashion'... 1 in 10 niliowasikia unakuta keshafanyiwa Op ya kuondoa hayo manyama nyama... au ni matokeo ya vyakula na maisha tu?

WoS, Nyamayao, shishi, Penny, Belinda Jacob, Mwanajamii, Pretty na wengineo naomba busara zenu...
 

Junius

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
3,183
133
Hivi nilisikia akina mama wakiwa na wapenzi wengi ni rahisi zaidi kupata kansa ya uzazi! Je hii ni kweli?

je sex is good kwa kuwa na mpenzi mmoja au wengi?
nimewahi kusoma pahala kuwa ni kweli mw'mke akiwa na wapenzi wengi anakuwa katika hatari ya kupata kansa ya kizazi.Hapa wataalamu wa masuala ya uzazi wanaweza wakatuelimisha zaidi.
Tendo la ndoa (maoni yangu) vizuri zaidi uwe na mwenza mmoja, kwa usalama zaidi wa afya yako, na mkiweza kuongeza vikorombwezo mtafurahia zaidi. Kwani hata mchele mmoja unanogwa kwa mapishi tofauti.
 

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,575
535
....swali zuri. Katika swali la nyongeza ambalo ni la kitaalamu zaidi; kuna uhusiano gani baina ya multiple partners na fibroids, myoma nk kwa kina dada wa siku hizi? mauvimbe hayo yamekuwa kama 'fashion'... 1 in 10 niliowasikia unakuta keshafanyiwa Op ya kuondoa hayo manyama nyama... au ni matokeo ya vyakula na maisha tu?

WoS, Nyamayao, shishi, Penny, Belinda Jacob, Mwanajamii, Pretty na wengineo naomba busara zenu...
Kuhusu fibroids ni aina ya uvimbe ambao hausababishwi na kuwa na wapenzi wengi.
Elimu niijuayo mie kuhusu fibroids ni kwamba kama mwanamke hajazaa muda mrefu au hajafanikiwa kuzaa (kushika mimba kwenye uterus) ana uwezekano mkubwa wa kupata fibroids. Na nimeeona wadada na wamama wengi tu ambao hawajazaa muda mrefu au hawakuzaa kabisa wengi wameathirika na tatizo hili.
Vile vile wataalamu wanasema kula beef (cow meat) kwa sana inaweza kusababisha hili tatizo kwa wanawake.
Mambo ya urithi pia yanaweza kusababisha hizi fibroids. kuna magonjwa ya urithi ambao hutokea kwenye koo za watu.
Hakuna ukweli wowote kwamba cancer ya kizazi husababishwa na kuwa na wapenzi wengi.
 

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,958
4,387
Kuhusu fibroids ni aina ya uvimbe ambao hausababishwi na kuwa na wapenzi wengi.

Mtume! haya ndo madhara ya kuchanganya radha tofauti mala nene mala nyembamba mala ndefu mala fupi jamani si wawe wanapendelea size moja tu?
 

Mwawado

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
995
241
Kuhusu fibroids ni aina ya uvimbe ambao hausababishwi na kuwa na wapenzi wengi.
Elimu niijuayo mie kuhusu fibroids ni kwamba kama mwanamke hajazaa muda mrefu au hajafanikiwa kuzaa (kushika mimba kwenye uterus) ana uwezekano mkubwa wa kupata fibroids. Na nimeeona wadada na wamama wengi tu ambao hawajazaa muda mrefu au hawakuzaa kabisa wengi wameathirika na tatizo hili.
Vile vile wataalamu wanasema kula beef (cow meat) kwa sana inaweza kusababisha hili tatizo kwa wanawake.
Mambo ya urithi pia yanaweza kusababisha hizi fibroids. kuna magonjwa ya urithi ambao hutokea kwenye koo za watu.
Hakuna ukweli wowote kwamba cancer ya kizazi husababishwa na kuwa na wapenzi wengi.

Asante sana Mwana kwetu....Maandiko yako ni Elimu Tosha.Fibroids ni tatizo kubwa kwa wadada wengi wenye umri wa 30+ ambao hawajawahi kupata mtoto,na takwimu zinaonyesha watu weusi ni more likely kupata Fibroids ukilinganisha na wenzetu Wazungu na Latino.

Mara nyingi madaktari wanashauri upasuaji ili kuondoa huo uvimbe ambao kwa wanawake wengi unasababisha excessive bleeding wakati wa period.Kuna aina mbalimbali za Fibroids,lakini ni kweli kwamba kuna aina ya Fibroids ambazo hukua na kusababisha saratani ya kizazi.

Hakuna ukweli wowote wa kuhusisha sex kwa wingi na watu tofauti na ugonjwa huu wa Fibroids.
Mara nyingi Fibroids huota kwenye Mirija ya mayai (Fallopian tubes) au Mji wa mimba (Uterus) na huangukia kwenye kundi la wanawake ambao kati ya miaka 10-15 toka wakue wamekaa bila kupata mtoto.
 
Last edited:

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,459
943
.... mauvimbe hayo yamekuwa kama 'fashion'... 1 in 10 niliowasikia unakuta keshafanyiwa Op ya kuondoa hayo manyama nyama... au ni matokeo ya vyakula na maisha tu?

WoS, Nyamayao, shishi, Penny, Belinda Jacob, Mwanajamii, Pretty na wengineo naomba busara zenu...

nimewahi kusoma pahala kuwa ni kweli mw'mke akiwa na wapenzi wengi anakuwa katika hatari ya kupata kansa ya kizazi..

Mambo ya urithi pia yanaweza kusababisha hizi fibroids. kuna magonjwa ya urithi ambao hutokea kwenye koo za watu.
Hakuna ukweli wowote kwamba cancer ya kizazi husababishwa na kuwa na wapenzi wengi.

Fibroids ni tatizo kubwa kwa wadada wengi wenye umri wa 30+ ambao hawajawahi kupata mtoto,na takwimu zinaonyesha watu weusi ni more likely kupata Fibroids ukilinganisha na wenzetu Wazungu na Latino.

Mara nyingi madaktari wanashauri upasuaji ili kuondoa huo uvimbe ambao kwa wanawake wengi unasababisha excessive bleeding wakati wa period.Kuna aina mbalimbali za Fibroids,lakini ni kweli kwamba kuna aina ya Fibroids ambazo hukua na kusababisha saratani ya kizazi.
Naomba nami niongezee kama ifuatavyo:
1.Kuna uhusiano kati ya kansa ya kizazi na multiple sex partners.Hii inatokea hasa kwa wanawake ambao wanaanza sex mapema,na wanashiriki na waaume wengi bila kutumia condom na hasa wanaume wasiotahiriwa.Kuna HPV- Human Papiloma Virus ambazo huwepo kwenye sehemu ya mwanaume na inamwingia mwanamke na kushambulia cervix.Hii ni kwa kifupi -
2.Fibroids kama alivyosema Mwawado inawapata weusi zaidi japo hata weupe wanalo sana hilo tatizo.Siyo lazima kuwapata wanawake ambao hawajazaa tu.Inakuwa rahisi kuhusisha na wasiozaa kwa sababu fibroids ni moja ya sababu zinazofanya mwanamke asishike mimba na wanapoenda kutafuta tiba ya kutokuzaa hufanyiwa upasuaji na hivyo kuingia haraka kwenye takwimu.Fibroid huweza na huwapata sana wanawake waliokwisha kuvuka umri wa 30-40 na inatokea kwa sababu ya hormones kwenye mwili na ukiangalia umri huo pia ni karibia kuingia menopause.Mara nyingi kinachofanya mwanamke kutafuta tiba ni kero ya excess bleeding ambayo humfanya pia kuwa na upungufu wa damu.Kwa wale wanaoweza kuvumilia, basi hali hii itakuja kujirekebisha yenyewe pale menopause kamili itakapoingia maana haya mauvimbe yata shrink kwa kukosa damu ya kuyarutubisha.Dawa permanent ya kuondokana na tatizo ni hysterectomy - kuondoa kizazi kwa vile fibroids zikiondolewa zina kawaida ya kukua tena.Hyste.inawezakuwa radical ( uterus,cervix na fallopian tubes na ovaries kuondolewa) au partial kwa maana ya kubakiza cervix na f/tubes na ovaries ambapo advantage yake ni kubakiza hormonal functions zinazomfanya mwanamke kubaki mwanamke kweli - sex libido inakuwepo bado, ngozi yake inaendelea kuwa nzuri n.k.Radical inapelekea moja kwa moja kama menopause na matatizo yake .
 

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,958
4,387
Je haya matatizo hayawakumbi wanaume wanao sex na wanawake wengi au wa kila aina?
 

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,611
7,782
Hakuna ukweli wowote kwamba cancer ya kizazi husababishwa na kuwa na wapenzi wengi.

Re-check your facts!

Studies have found a number of factors that may increase the risk of cervical cancer na having multiple partners is one of them. Some of the leading factors are as folows:

Human papillomaviruses (HPVs): HPV infection is the main risk factor for cervical cancer. HPV is a group of viruses that can infect the cervix. HPV infections are very common. These viruses can be passed from person to person through sexual contact. Most adults have been infected with HPV at some time in their lives. Some types of HPV can cause changes to cells in the cervix. These changes can lead to genital warts, cancer, and other problems.

Sexual history: Women who have had many sexual partners have a higher-than-average risk of developing cervical cancer. Also, a woman who has had sexual intercourse with a man who has had many sexual partners may be at higher risk of developing cervical cancer. In both cases, the risk of developing cervical cancer is higher because these women have a higher-than-average risk of HPV infection.

Smoking cigarettes: Women with an HPV infection who smoke cigarettes have a higher risk of cervical cancer than women with HPV infection who do not smoke.

Using birth control pills for a long time: Using birth control pills for a long time (5 or more years) may increase the risk of cervical cancer among women with HPV infection.

Having many children: Studies suggest that giving birth to many children may increase the risk of cervical cancer among women with HPV infection.

and many more

These factors may act together to increase the risk even more.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Top Bottom