Ufundi wa mapenzi hauna mchango kwenye kuimarisha ndoa

Ufundi wa mapenzi hauna mchango kwenye kuimarisha ndoa

Mkosaji ninayemwongelea hapa ni yule anayeamini ulichosema.
Officialy(ili kuiridhish jamii) I agree with you lakini kiukweli uwajibiikaji kitandani kunamata sana na ni sababu moja wapo kubwa inayosababisha wanaume wengi kuwa na michepuko.
na michepuko inpogundua udhaifu huo ndio inazidisha mbwembwe kunako 6 kwa 6.

Mkuu tuache unafki.

Sidhani kama kuna ukweli.
Mbona hiyo michepuko haipo kwenye ndoa?
 
Busara na hekima tele as always Michelle, hopefully you'll stay this time. Special greetings to your loved ones.
Michelle,
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Busara na hekima tele as always Michelle, hopefully you'll stay this time. Special greetings to your loved ones.

Awww,asante sana BAK. Nitajitahidi kuwepo kadri iwezekanavyo...majukumu tu yanazidi wakati mwingine. wanashukuru sana na wanakusalimu pia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndibalema,

Sio kweli mm namuunga mkono Bujibuji suala la kukata kiuno ni mbwembwe tu hata ukate vp kama una kauli chafu wewe lazma uachike.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo mengi sana yanayochangia ndoa kudumu ukiyaweka yote pamoja ndipo mambo yanaenda. unaweza ukakosea kimoja tu ndoa kwako ikawa chungu. Ninachoweza kusema, watu wanatofautiana kwenye taste and preference. Ndoa haina formula
 
Wanawake wa kichaga wanavumilia kwa sababu ya pesa, fulia uone....Sisi tunataka mapenzi ya kweli, ukizingua tunasepaaa, si mshasema mjini msingi kiuno, tutaenda kumkatia mwingine nae atadata kama ulivyodata wewee....Kwani sh ngapi?

Tumejaaliwa kiuno na ujeuri aiseee....
 
Ndoa haijengwi na kiuno kama feni bali na upendo usio na kifani kati ya wanandoa....

Ndoa ni tendo la ndoa, hata mpeane upendo wa kitamthilia kama kitandani hamridhishani ndoa lazima iyumbee...
 
Wanawake wa kichaga wanavumilia kwa sababu ya pesa, fulia uone....Sisi tunataka mapenzi ya kweli, ukizingua tunasepaaa, si mshasema mjini msingi kiuno, tutaenda kumkatia mwingine nae atadata kama ulivyodata wewee....Kwani sh ngapi?

Tumejaaliwa kiuno na ujeuri aiseee....

Utani kidogo. Mjini mipango nguvu peleka ki jijini kwenu.

Jamaa aliingia saloon na mtoto akanyolewa nywele. Ndevu black fasho. mascrub na mazagazaga kibao.alipomaliza kunyolewa akasema mtoto nae anyolewe.

Wakati mtoto anaendelea kunyolewa jamaa akaomba aende dukani kununua vocha. Masaa yakazidi kwenda. Jamaa haonekani. Ikabidi wamuulize yule mtoto. Baba ako kaenda wapi. Mtoto akajibu.

Yule sio baba angu. Alinikuta tu njiani akasema twende tukanyolewe bure.
 
Back
Top Bottom