mwenye shida hizo na nyinginezo za umeme kwa ujumla kwa ufumbuzi wa uhakika piga 0656898431 au 0732 200 494. karibu, usiogope, usisite ufumbuzi ni wa wa uhakika, amini utaona.
jaribu kuazima power unit nyingine nzima kama yako ujaribie. Kama tatizo likiisha tafuta nyingine ya kwako. kama linaendelea baada ya kubadilisha power unit muone fundi wa computer hardware aliye karibu nawe inawezekana kuna tatizo kwenye socket ya kuchomekea power unit cable kwenye laptop au internal power supply unit ya laptop yako ina matatizo.good evening
Hilo tatizo nimeliona pia kwenye Compaq. Machine ikipata moto (hata battery ikipata moto) hupelekea kuongezeka kwa resistance kwenye mfumo wa upitishwaji wa umeme hivyo kusababisha hali hiyo kutokea. Pindi unapochomoa cable joto hushuka na kuendelea na kazi vizuri. Nakushauri utafute cable ambayo ni genuine pia unaweza ukaformat pc yako upya! Surely, utatatua tatizo hili (ni dogo sana)