Ufumbuzi wa matatizo ya umeme, generators, solar au radi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufumbuzi wa matatizo ya umeme, generators, solar au radi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Meshacky, Jan 11, 2011.

 1. M

  Meshacky Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenye shida hizo na nyinginezo za umeme kwa ujumla kwa ufumbuzi wa uhakika piga 0656898431 au 0732 200 494. karibu, usiogope, usisite ufumbuzi ni wa wa uhakika, amini utaona.
   
 2. n

  ndume Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  naomba wataalam mnisaidie laptop toshiba satellite 110,nikichomeka cable ya power kinachotokea ni touch pad haiendeshi cousor,nifanyeje?
   
 3. n

  ndume Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  naomba wataalam mnisaidie laptop toshiba satellite 110,nikichomeka cable ya power kinachotokea ni touch pad haiendeshi cousor,nifanyeje?
   
 4. M

  Meshacky Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukitumia battery peke yake inafanya kazi vizuri?
   
 5. n

  ndume Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  laptop hii toshiba yangu ikiwa na betri tu bila ya kuchomeka power cable kasa yake na touch pad inatembea vizuri
   
 6. M

  Meshacky Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaribu kuazima power unit nyingine nzima kama yako ujaribie. Kama tatizo likiisha tafuta nyingine ya kwako. kama linaendelea baada ya kubadilisha power unit muone fundi wa computer hardware aliye karibu nawe inawezekana kuna tatizo kwenye socket ya kuchomekea power unit cable kwenye laptop au internal power supply unit ya laptop yako ina matatizo.good evening
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hilo tatizo nimeliona pia kwenye Compaq. Machine ikipata moto (hata battery ikipata moto) hupelekea kuongezeka kwa resistance kwenye mfumo wa upitishwaji wa umeme hivyo kusababisha hali hiyo kutokea. Pindi unapochomoa cable joto hushuka na kuendelea na kazi vizuri. Nakushauri utafute cable ambayo ni genuine pia unaweza ukaformat pc yako upya! Surely, utatatua tatizo hili (ni dogo sana)
   
Loading...