Kwa wale wawekezaji wa Hoteli za Kitalii wanapaswa kutumia fursa ya serikali kuhamia dodoma kwa kuwekeza hoteli za kisasa katika ufukwe wa ziwa Kindai ambao kwa sasa bado hakuna muwekezaji aliyewekeza hata kijumba kimoja cha hoteli. Ufukwe bado upo virgin kabisa umezungwa na pori na miti na maeneo ya ufukwe yakishikiliwa na wenyeji tu ambao hawana ndoto ya kuwekeza katika hoteli.
Ziwa la KINDAI singida ni ziwa ambalo lipo natural halitegemei mvua kama lilivyo ziwa Singidani ambalo hukauka kila ifikapo kiangazi. Kindai ni kama bahari ya Hindi maji hayapungui kamwe.
Tumia fursa ya kuhamia Dodoma kwa kupata hotel plots katika ufukwe wa Ziwa Kindai na kuwekeza hotel industries ambazo zitatumiwa na wafanyakazi wakimataifa kutoka dom kupumzika wkeends katika mji wa Singida