Ufukuapo makaburi, kumbuka wenzio walikusitiri...

Ufukuapo makaburi, kumbuka wenzio walikusitiri...

Si na wenyewe wafukue tu, wanasitiri nini?,au ndo tisha toto waachwe?
 
Nimetaja kwa uchache tu ila hakuna sehemu kuna madudu kama ujenzi(Tanroad) ndo maana hamgusi mfugale na hakuna audit pale bado e-passport,hasara ya meli ya samaki nk
Kuna watu inatakiwa wapewe PhD Kwa kulitia taifa hili hasara na walitakiwa wawe keko sio uraiani, maana wameleta hasara kubwa kuliko faida.
 
Wakati mkuu anaposema hataweka jiwe la msingi huko mkwawa eti kwa sababu umefanyika ufisadi, akumbuke kuwa JK angefanya kazi kwa staili hyo leo hii huyu angekuwa keko.madudu alofanya na kumezewa na wakubwa wwake ni mengi.Aliweza kuuza nyumba za umma huku akijinunulia hadi mahawara zake,Mv dsm imenunuliwa mbovu jk akamuacha tu.sasa yeye yote na mengine hayaoni anaona ya wenzake tu, hivi sasa kuna dili la NIDA kwa kuwa ni miongoni mwa wanufaika kawa mkimyaaa.
Acha wivu na roho ya husda watakuja kufukua mafuvu yako na kuyasimamisha kwa pilato
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hamna mkuu, hoja yangu ni kuwa tusimtetee mwizi yeyote. Hata kama ni babu yako, achilia mbali jiwe

Ok mkuu, for that being the case tuanze na jiwe na wote waliokwapua mapesa yetu
 
Back
Top Bottom