Mojawapo ya matokeo mabaya kabisa ya wizi kwenye taasisi zetu na serikalini ni kuwa unapoiba wengine wanaona. Na ni wengi sana. Kuna wanaoona na kuna wengine watasikia mchoro mzima ya jinsi wizi ulivyo fanyika
Kwasababu wengine wanajua ulichofanya nao wata fanya kama ulivyo fanya. Wataiba kwa njia zile zile au kwa njia zilizo boreshwa. Wasipokamatwa na kuchukuliwa hatua wengine nao wataiga kuiba. Mwisho mnakuwa taifa la mijizi. Mnashindana kuiba. Mnakuwa kama Kongo kipindi cha mobutu. Mpaka hapo mtakuwa mmeshaua nchi. Maana wasio kwenye nafasi ya kuiba hawatakubali. Mnataka twende huko? . Nendeni peke yenu. Magufuli kamata hao na wavishe jezi