Ufukuapo makaburi, kumbuka wenzio walikusitiri...

Ufukuapo makaburi, kumbuka wenzio walikusitiri...

Hakumbushiki huyo mwehu achana nae
Kama mlishindwa kumpigia kura nyingi na za kutosha mgombea wenu ili awe Rais, sasa mtawezaje kumtoa huyu madarakani kwa vijimaneno, matusi na kejeri kwenye mitandao? Mnapoteza muda wenu tu!! Subirini mwaka 2025 ndiyo muweze kumleta wa kwenu.
 
Mange amesaidia sana kauli za kejeli kwa Watanzania na viongozi watangulizi zinapungua sana.
 
Haya ndo mambo yaliyotufanya tuwe masikini na kubakia kuwa Binadamu masikini kuliko wote Dunia hii, kutwa nzima kuishi kusubiri wengine wapate shida ili mpate cha kusema, mtasubiri sana na Dunia inasonga mbele, kama ingekuwa hivyo basi Wazungu na Waarabu waliobaka, kutesa na kuuwa Mababu zetu wangeshalaanika, lkn ndo kwanza bado tunawaabudu na kutaka kukimbilia kwao.

Acha Majungu kama Nape na Zito Kabwe, piga kazi kuboresha maisha yako na familia yako, Raisi Magufuli ni Raisi wa Nchi vijidua vyako haviwezi kumpata, isitoshe Raisi Magufuli na Kikwete siajabu hata wanakutana jion na kunywa mvinyo, wewe takataka unapoteza muda humu eti unatoa laaana unasubiri afungwe Jela, WTF???
Mjibu huyu

MageziJF-Expert Member

Kwahiyo ulitaka aweke jiwe la msingi kwenye mradi wa kifisadi hata kama naye aliiba?.Ni kitu gani kilichowafanya wakubwa zake enzi hizo wasimwajibishe?
Wewe uko dunia gani??
1. Ameuza nyumba za serikali
2. Amekamata meli ya samaki na kuiacha ikaozea pale bandarini, serikali ikashindwa kesi ikalipa fidia ya bilioni nyingi
3. NIDA
4. E-Passport
5. MV dsm
6. Ununuzi wa ndege bila kufuata sheria za fedha na kukiuka katiba
7. n.k.
 
Magufuli ana mapungufu yake. Mfano kuna kanda binafsi nahisi anaibeba laivu laivu. Pili kutaka kuwekeza mabilioni ya watanzania kwenye hiyo stiegler gorge ili tupate umeme wakati mtangulizi wake aliisukuma nchi iwekeze mabilioni kwenye gesi kwa lengo hilo hilo la umeme. Sasa kwanin tuache gesi tuje kwenye maji? Umeme wa gesi hautotosha au? Ikoje ikoje hii. Maelezo ya kina yanatakiwa,

Lakini kwenye wezi acha awakamate.

Rais ajaye naye acha aje akamate wanao fisidi nchi kipindi hiki cha magufuli. Mwendo uwe ndo huu. Sasa watu mapovu yanawatoka ya nini?
Na hasa watu kutoka kanda mpya ya kakonko, buhagwe na manyovu?
 
Nimetaja kwa uchache tu ila hakuna sehemu kuna madudu kama ujenzi(Tanroad) ndo maana hamgusi mfugale na hakuna audit pale bado e-passport,hasara ya meli ya samaki nk
hahaaaa mkuu ni kweli TANROADS hakuna audit au tunaleta siasa k
 
Huyu mhutu anajiona atatawala milele ngoja tuone awamu yake ikipita akija mwingine Mungu atupe uhai tuje tushuhudie
 
Huyu jibwana jibinafsi sana,haoni ni namna gani anavyokumbatia kabila lake na kuchukia wengine huku akijinasibu yeye anatumikia watanzania bila kujali chama.akili zake zote ziko kanda ziwa.unateua ukoo na wasukuma wenzio hata kama hawana sifa huku ukijifanya mzalendo eti hata kusema mniombee, utaombewa ila utaombewa kifo
Acha roho mbaya wewe. Unataka kuniambia kuwa iwapo Lowassa angekuwa rais leo hii kwenye nafasi nyeti wasingejaa watu wa kaskazini?.

Unataka kuniambia kuwa leo hii Fred asingekuwa na ushawishi kama aliokuwa nao Ridhiwani enzi za awamu ya nne?.

Acheni akili za wivu, hakuna mtu anayeweza kupewa madaraka halafu akazungukwa na watu asiowafahamu kwa undani.
 
Kama mlishindwa kumpigia kura nyingi na za kutosha mgombea wenu ili awe Rais, sasa mtawezaje kumtoa huyu madarakani kwa vijimaneno, matusi na kejeri kwenye mitandao? Mnapoteza muda wenu tu!! Subirini mwaka 2025 ndiyo muweze kumleta wa kwenu.

Mbn nyie ndo mnalalama sana kitaa kuwa hamkutegemea kwani hamkujua huyu ni mteja mirembe?
 
Mbn nyie ndo mnalalama sana kitaa kuwa hamkutegemea kwani hamkujua huyu ni mteja mirembe?
Mimi wala silalamiki hata kidogo! Nilipanga msururu kumpigia kura kwa roho safi na kumpigia kampeini. Hivyo mimi ninampenda na kufurahishwa sana na kazi zinazofanywa na Rais wangu Magufuli na mwaka 2020 nitampigia kampeini na kumchagua tena aiongoze nchi hii kwa mafanikio. Nyinyi ni matatizo yenu ndiyo yanayowafanya mtukane na kuwa tegemezi tu! Mimi ninajituma na kupata riziki kutokana na kujituma kwangu, sikai kutegemea eti Rais au serikali inilishe au kutatua matatizo yangu ambayo yako ndani ya uwezo wangu. Kwa mwananchi mzalendo, anaisaidia nchi yake ili iendelee na siyo kubweteka akisubiri kusaidiwa tu. Magufuli anavyoingoza nchi hii, ndivyo ilivyotakiwa tangu mwanzo.
 
CCM wengi ni wezi Dili zote alizopiga alikula nao pamoja lakini sasa Dili nyingi anazopiga sasa anakula na wachache sasa hasa wa Hazina na BOT anapochukua pesa kienyeji mara nyingi kwa Msaada wa katibu mkuu ( mwanae) na Gavana wa Bank Rafiki yake , Dili kubwa kwake kwa sasa lipo wizara ya madini ambapo kaweka waziri anayeiga naye michongo ya madini yote waliyokamata Airport na mipakani, huku makinikia yakipelekwa nje kiimya kiimya, kwa kifupi Mtukufu Malaika toka chato na Naibu Rais Maliyamungu Bashite wanapiga Dili kwa kasi na mapema zaidi kuliko kikwete na mkapa ambao wao waliiba vipindi vya mwisho mwa Utawala wao.
Mkuu jitahidi uwe na ushahidi na unachoongea, ujue unachofanya ni kosa kisheria.
Usije sema hukuwa unajua na kuomba msamaa, sheria hainaga hizo.
 
Haya ndo mambo yaliyotufanya tuwe masikini na kubakia kuwa Binadamu masikini kuliko wote Dunia hii, kutwa nzima kuishi kusubiri wengine wapate shida ili mpate cha kusema, mtasubiri sana na Dunia inasonga mbele, kama ingekuwa hivyo basi Wazungu na Waarabu waliobaka, kutesa na kuuwa Mababu zetu wangeshalaanika, lkn ndo kwanza bado tunawaabudu na kutaka kukimbilia kwao.

Acha Majungu kama Nape na Zito Kabwe, piga kazi kuboresha maisha yako na familia yako, Raisi Magufuli ni Raisi wa Nchi vijidua vyako haviwezi kumpata, isitoshe Raisi Magufuli na Kikwete siajabu hata wanakutana jion na kunywa mvinyo, wewe takataka unapoteza muda humu eti unatoa laaana unasubiri afungwe Jela, WTF???
Barbarosa kama hajakuelewa basi itabidi akaanze Chekechea kabisa.
Bila shaka utaratibu wa kudhibiti upigaji umemjeruhi sasa anapunguza machungu kwa kumchukia Magu. Inabidi apambane na hali yake maana hamna namna.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu, Mwenyewe yupo. Sihusiki

Ajibu mwenyewe. Asipo jibu yeye Kwasababu majaji wote na polisi wote wako chini yake tumsubiri akitoka.

Tuweke mazingira hayo. Na kipindi akishughulikiwa kwa maufisadi aliyo fanya tusisikie mtu kulalama

Napata shida kumtetea mwizi

  • Jibuni hoja hizi:-
  • Nyumba za serikali na ujenzi wa nyumba mpya kwa bei kubwa.
  • Meli ya samaki fidia mabilioni.
  • Mv dar bei kubwa na mbovu.
  • 1.5 trilion
  • Ununuzi ndege kifisadi.
  • Ujenzi uwanja chato bila bunge kutenga pesa.
  • Ujenzi mabweni chuo yaliyokwisha pata kreki.
  • Barabara nyembamba kimara - kivukoni na kariakoo.
  • Ujenzi sub std barabara mwenge - tegeta.
  • Uvunjaji katiba ya nchi.
  • Teuzi za kifamilia,kikabila na kikanda

.
Afukue na ya kwake ili kuwe na balance
 
Hivi uwanja wa ndege chato amekwapua hela ya ule mradi wa uwanja wa ndege wa kimataifa Serengeti/Simiyu(?) au ni mimi naelewa vibaya?
 
Huyu mhutu anajiona atatawala milele ngoja tuone awamu yake ikipita akija mwingine Mungu atupe uhai tuje tushuhudie
uhai wako huko mikononi mwako punguza madawa ya kulevya
 
Hizi ni povu zisizo na msingi, rais kafanya sana kazi, na amelipigania sana taifa kulitoa kwenye madudu. Jk alifanya wakati wake na alifanya alipoweza. Rais magifuli in kati ya watu wachapa kazi.
Hilo haliondoi ukweli kwamba huyu Bwana amefanya maamuzi mengi ya hovyo na kulitia hasara kubwa taifa. Mfano kukamata meli yawachina bila sababu za msingi na kuzingatia weledi ni matumizi mabaya ya madaraka yaliyolitia taifa hasara kubwa. Mv Bagamoyo ndio usiseme. Huyu ana kesi nyngi za kujibu akimaliza muda wake .
 
Wewe uko dunia gani??
1. Ameuza nyumba za serikali - nyumba za serikali alipanga na mama janeth asubuhi akaenda kuziuza?bila approval ya Rais aliye madarakani?bila kikao cha baraza la mawaziri?
2. Amekamata meli ya samaki na kuiacha ikaozea pale bandarini, serikali ikashindwa kesi ikalipa fidia ya bilioni nyingi - serikali imeshindwa kesi ngapi hata kama kuna ushahidi wa kimazingira?lini serikali iliwahi kushinda kesi kubwa?
3. NIDA - dickson mwaimu yuko wapi na wenzake 7? kwa kesi ya uhujumu uchumi Sh bilioni 1.16
4. E-Passport - zimefanya nini?
5. MV dsm - waziri ndio mkuu wa manunuzi wa serikali?
6. Ununuzi wa ndege bila kufuata sheria za fedha na kukiuka katiba - kasome sheria za manunuzi au public procurement act ndio utajua alitumia njia gani kufanya manunuzi ya ndege?au kujenga hostels udsm?maana ni regulations zilizopitishwa na bunge na zinatumika duniani kote na sio kuvunja sheria
"mjinga asipojibiwa ataendelea kupotosha umma wa watanzania, dawa na mjinga ni kumjibu kama hajui atajifunza, kama anajua na anapotosha utawasaidia wengine"
7. n.k.
 
Kama mlishindwa kumpigia kura nyingi na za kutosha mgombea wenu ili awe Rais, sasa mtawezaje kumtoa huyu madarakani kwa vijimaneno, matusi na kejeri kwenye mitandao? Mnapoteza muda wenu tu!! Subirini mwaka 2025 ndiyo muweze kumleta wa kwenu.
Huyo aliyepo madarakani hakuchaguliwa kwa kura nyingi bali tume ya uchaguzi waliiba kura ni uchakachuaji ulimpeleka ikulu, wananchi walipiga kura vizuri lakini tume ya uchaguzi ikafanya haramu kwa kuiba kura zote na kuzipachika kwa Mtukufu malaika toka chato.
 
Back
Top Bottom