MkulimaAgriClinic
Member
- Jun 30, 2021
- 5
- 14
Sungura ni mnyama mla majani, wanyama wala majani ni wanyama wa gharama nafuu kufuga maana huweza kula vyakula ambavyo wanadamu na wanyama wenye mfanano na binadamu hawali. Vyakula kama majani au mabaki ya vyakula hupatikana kwa gharama nafuu.Hii kufanya ufugaji wa sungura kuwa wa gharama za chini kabisa kulinganisha na kuku ,samaki au nguruwe.
UZALISHAJI: Sungura mmoja kwa mwaka huweza kuzaa watoto hadi 35. Kwa hiyo sungura 100 huweza kuzaa hadi watoto 3500
UMRI WA KUUZA AU
KUCHINJWA: Sungura huweza kuuzwa au kuchinjwa wakiwa na umri wa kuanzia hata miez 2 hadi 6 kulingana na mahitaji ya soko
SOKO: Kuna kasumba kwamba nyama ya sungura haina soko kwa watu wengi wa local, hivyo husema kwamba huuzwa sana katika mahoteli ya kitalii na masoko ya nje ya nchi na kufanya sungura kuuzwa bei ya juu. Hii ni kasumba tu, lkn sio kweli, jamii za watu hapa TZ wanakula nyama ya sungura lkn wangependa waipate kwa bei nafuu na mahali popote kama ilivyo mbuzi, kuku au nyama ng'ombe
FAIDA: Wakati inatajwa katika mifugo wengine kwamba chakula huchukuwa gharama za ufugaji kwa asilimia 60%-70% , katika sungura ni asilimia 15-20, hufanya faida ya sungura kuwa na faida ya asilimia 65-75 ya mapato.
Ushauri mzuri wa ulishaji usingatiwe, usikurupuke kulisha pellet za watu wanaotafuta pesa kwenye bidhaa za vyakula vyao
Tucheck 0621106923 tukupe deal