Ufugaji wa panya kwa biashara

abaa4all

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
313
290
Habar zenu,

Nmeleta ufugaji huu wenye tija katika kupata hela ya haraka.

Panya anamatumizi mengi sana

1.scientific reseach, Ambapo chuo kama sua kuna kitengo maalum kuwatrain panya hivyò hapa soko la uhakika...km tunavyojua kuna panya hutumika mpka kutegua mabomu

2.Dissection of Rat hii mara nying kwa Tanzania wanatumia wanafunz wa form five na form six wanaosoma combination za biology

3.Food hapa utapata watu wengi wanaotumia panya km kitoweo ambao weng wanatokea maeneo ya kusini

4. Soko la dunia panya maneno ya Asia wanasoko kubwa sana mfano kilo moja ya panya huuzwa kati ya dollar 10 mpka 20 ktegemea na maeneo na targeted areas ni ASIA kma china, South Korea, Thailand.

UFUGAJI

Panya hana gharma kubwa katika kufuga unweza kuanza kuchukua panya nyumba za jiran mpk ukifikishapanya 1000 unaanza kufuga kwako. Chumba cha kufugia kinahitajika kiwe cha zegekuepusha kuchimba au kuondoka .

Nawasilisha fursa adhimu

images.jpeg-9.jpg
View attachment 1720096
 
Huuu ufugaji huu ni hatari! Sasa Mkuu Nani atakaye wa nunua na kuwa safirisha kuwa peleka huko Asia?
 
Duh changamoto ipo kwenye jinsi ya kuwafuga mzee na soko lake yani ndo changamoto kumpata mnunuzi ni shughuri kweli kweli yani
 
Habar zenu,

Nmeleta ufugaji huu wenye tija katika kupata hela ya haraka.

Panya anamatumizi mengi sana
1.scientific reseach, Ambapo chuo kama sua kuna kitengo maalum kuwatrain panya hivyò hapa soko la uhakika...km tunavyojua kuna panya hutumika mpka kutegua mabomu

2.Dissection of Rat hii mara nying kwa Tanzania wanatumia wanafunz wa form five na form six wanaosoma combination za biology

3.Food hapa utapata watu wengi wanaotumia panya km kitoweo ambao weng wanatokea maeneo ya kusini

4. Soko la dunia panya maneno ya Asia wanasoko kubwa sana mfano kilo moja ya panya huuzwa kati ya dollar 10 mpka 20 ktegemea na maeneo na targeted areas ni ASIA kma china, South Korea, Thailand.

UFUGAJI

Panya hana gharma kubwa katika kufuga unweza kuanza kuchukua panya nyumba za jiran mpk ukifikishapanya 1000 unaanza kufuga kwako. Chumba cha kufugia kinahitajika kiwe cha zegekuepusha kuchimba au kuondoka .

Nawasilisha fursa adhimu

View attachment 1720097View attachment 1720096
Unataka kutugeuza sisi ndio fursa, Watanzania bhana
 
Njoo ukamate hapa kwangu panya wengi mno, na ukiwamaliza nakupa hela juu yake.
 
Back
Top Bottom