Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Habari za saa hizi wana jamii forum,mimi ni mfugaji wa nguruwe ninao kumi na tatu (13) nataka niwauze mwezi wa tatu,kwa sababu watakua na afya nzuri kipindi hicho kwa ajili ya kuchinjwa na kuliwa,napatikana mkoa wa Kilimanjaro,kwa sasa bado sijajua zaidi kuhusu soko(sina mteja maalum) ningependa mnijuze waungwana wenzangu.
Namba zangu za sim ni 0762283253
Email:kennedyshirima09@gmail.com
Asanteni sana.
Baadhi ya picha

Astaghfirullah
 
hallo hamjambo, na kheri ya mwaka mpya.

changamoto za ajira zimekua ngumu sana, niko lindi/mjini nahitaji mtu/rafiki/mjasiliamali aliyetayari kuwekeza na kushrikiana na mimi katika biashara hii ya ufugaji wa nguruwe hapa lindi, nina eneo la kutosha kujenga mabanda na muda wa kutosha kuhudumia wanyama, ila tatizo ni mtaji wa kutosha hivyo aliye tayari tutasaidiana kujenga mabanda kununua wanyama na kuwalisha, mimi nitakaa uko uko shamba kuwahudumia kama wewe uko unafanya shughuli zingine. tuwasiliane kwa taarifa zaidi.
 
Peleka mnadani Moshi mjini.
Nguruwe 13 ku peleka DSM ni kutafuta hasara kwa UDI na uvumba. Labda mjikusanye wafugaji wengi, mkodi gari moja kupunguza ukali wa gharama
Hivi Moshi mjini kuna mnada wa nguruwe?
 
Kilimanjaro hawanunui kwa Kg mkuu hilo ndo tatizo linalotuangusha wafugaji wengi wa mkoa huu....Lakin unaweza kuwasogeza mpaka arusha wananunua 5000-5500 kwa Kg 1
 
Back
Top Bottom