Blessing C
New Member
- May 25, 2013
- 2
- 0
Na mimi nahitaji msaada nasubiri wadau waje
kaka naomba nikupigie kwa shule zaidi kuhusu huu ufugaji0789412904.
Mkuu Ramea watoto wa nguruwe wanapozaliwa wanakuwa na upungufu wa madini ya chuma, pia mwili wake unakuwa na uwezo mdogo sana wa kuzalisha damu ya kutosha, hivyo inashauriwa siku ya tatu baada ya kuzaliwa watoto wa nguruwe wachomwe sindano ya dawa yenye madini ya chuma, pia unatakiwa uwakinge na baridi maana kipindi hicho ngozi yao inakuwa haijawa na mafuta na manyoya ya kutosha.Huu mradi huwa nafarijika sana nikisoma mada za humu ndani, Mimi ni mfugaji maarufu wa hawa viumbe(Avatar yangu inathibitisha) Tatizo langu kubwa ni namna ya kupunguza gharama za chakula kwani hivi viumbe vinakula sana. Na tatizo la pili ni vitoto kufa hasa wakiwa na miezi minne hadi tano.
Sorry unamaanisha mabaki ya chakula yapikwe kwanza ndo wapewe? SijakuelewaVyakula vya nguruwe vinavyotakiwa kuchemshwa ni mabaki ya vyakula vilivyopikwa au maganda ya viazi au na mabaki mengine ya mboga mboga na kadhalika kwani vyakula hivi huwa na kiasi kikubwa cha contamination ya bacteria na wadudu wengine kwenye athari katika mfugo huu ... Vyakula vya kuchanganya kama pumba, mashudu alizeti/pamba, soya meal, mifupa, chumvi pig mix na hata majani mabichi fresh haviitaji kuchemshwa
Sisi tunahusika na drinker za nguruwe tu mkuuNataka huo mfumo kwa kuku nitapata wapi mabanda ya kufugia kuku ambayo kuku anaishi bila kinyesi wala kumwaga chakula na pia mayai hayavunjiki wala kuliwa na kuku?
Umelipa ada ya tangazo kwanza?Hongera sana mkuu, sasa hakikisha kuwa haufugi kama alivyokuwa akifuga mzee wako. Wewe fuga kisasa mpaka mzee wako ajisikie raha kukupeleka shule. Unaweza kufunga drinkers za kisasa ili kurahisisha ufugaji wako wa nguruwe na kuwafanya wawe na afya bora, tunapatikana Dar lakini kama upo mkoani tutakuagizia kwa gharama zetu. Piga simu namba: 0625504952
KARIBU SASA NA UFURAHIE UFUGAJI WA KISASA
Bado natafuta vitoto Vya nguruwe ndugu zangu.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums