Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Write your reply...jamani ndugu zanguni natafuta mbegu bora za nguluwe je nazipataje mfano Large white landrace na wessex saddleback mana mm ninawo chotara ko kama kuna mtu anawo Tuwasiliane +255788379310
 
Write your reply...lakini pia kama kuna mtu anajua soko la mkojo wa sungura naomba tusaidiane kujulishana na bei zake
 
Wajasiriamali wa ufugaji woote nawashtua tu kuwa KIJANA WENU NIPO muanzishapo miradi na au mnayo miradi MDOGO WENU NIPO,nipo tayar kwa kazi yoyote jamaniii!!!
 
Swine, shuuuuuuuwahin, hii kitu ni tamu sana haswa ukipata ya kuchoma, ngoja wenye nguruwe zao waje mmalizane
 
Sihitaji mengi,kidogo tu kuna chapombe analewa Januari hadi Disemba nataka nimkomeshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…