wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,129
Habarini za kutwa ndugu nawasalimuni kwa jina la Mungu naomba nitolee jibu la hiyo shida aliyoipata mfugaji mwenzetu.
1, Kwanza ningemshauri aite vet kumwangalia huyo mbwa wake ajue tatizo ni nini.
2, ulishwaji wa mbwa chukuwa nyama ichemshe halafu changanya na chenga za mchele zile wanazo pikia vitumbuwa Mbezi pale tuna nunu kg1 sh 650 mpaka700.
3, uwapatie Mbwa wako dawa za minyoo vidonge ni ZAROKRIM. Sindano ni INVOMEC ENJICTION.
4,Muoshe vyema na usafishe sehemu anayo lala vizuri na kumtolea kinyesi ktk banda lake kila mara.
5, Mpatie vidnge vya PET-FORCE kimoja kila siku baada ya siku 14 atakuwa sawa.
Minyoo huwa ni ugonjwa unasumbuwa sana Mbwa hasa hizi mbegu ambazo sio za asili.
Karibu sana kwa swali lolote.