Ufugaji wa Mbuzi, Kanga, Bata Mzinga na Kuku

Huu uzi ni darasa tosha!
Hongera sana Mkuu Manchid kwa kuanzisha uzi huu!

Mm pia ni Mfugaji wa Mbuzi! Nlianza October mwaka jana!
Naishi DSM lkn Mbuzi zangu nafugia kata ya MSOWERO wilayani KILOSA - MOROGORO!

Na mm nlianza km alivoanza mkuu Manchid
Mm mbuzi zangu nlikuwa nanunua Mnadani pale MKONGENI wakati wa kiangazi kisha nawasafirisha mpk Msowero!

Mm nlianza na Mbuzi 24 nliowanunua kwa awamu mdogo mdogo... kulingana na KUCHANGAMKA KWA MNADA!
Nlinunua Mbuzi vijana wanaokaribia kupandwa!
Kuna wachache kama 6 hv nliwanunua wakiwa na Mimba! Mbuzi Nlinunua majike 22 na madume 2!

Nlianza kununua Mbuzi na kwaAttach kwa wafugaji wazoefu wa Kisukuma Kijijini huku nikijipanga kutafuta eneo langu ntakalojenga Mabanda ya Mbuzi! Tayari nimeshapata eneo sasa nakusanya nguvu kujenga banda bora kisha niwahamishe kutoka kwa Wafugaji!

Binafsi changamoto nlioiona kubwa ni Magonjwa japo tumejitahidi kuyadhibiti kwa kutumia Chanjo ambazo wafugaji wng wamekuwa wakishauri na mm kuzinunua Kariakoo sokoni!

Changamoto nyingine ni ndama kuliwa na fisi! Hii suluhisho lake ni kujenga Mabanda bora na imara! Kwa sasa tumeimairisha ulinzi ktk mazizi yaliyopo ya kienyeji!

Mpk sasa ufugaji una miezi 6 lakini naridhishwa na uzaaji unavoendelea! Nina ndama kadhaa waliozaliwa kati ya December na March mwaka huu...

Nilifanya Mawasiliano na kituo cha utafiti TALIRI Mpwapwa kujua upatikanaji wa Mbuzi aina BOER... walinambia wao wanao lkn sio wa kuuza! Wanawatumia kwa CROSSBREED na Mbuzi wa Asili kisha hao wanaozaliwa ndio wanawauza kwa wahitaji! Pia walinambia kuwanunua lazima uweke ORDER na kabla hawajazaliwa!

Pichani ni baadhi ya Mbuzi zangu!

Tujifunze kwa Maendeleo! View attachment 1760060View attachment 1760061View attachment 1760062
20201012_140918.jpg
View attachment 1760063

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi nikupongeze kwa uthubutu wako ila nikushauli usiache kujifunza kwa wafugaji na wataalamu wa mifugo hongera Tena mapambano yaendelee

Huu uzi ni darasa tosha!
Hongera sana Mkuu Manchid kwa kuanzisha uzi huu!

Mm pia ni Mfugaji wa Mbuzi! Nlianza October mwaka jana!
Naishi DSM lkn Mbuzi zangu nafugia kata ya MSOWERO wilayani KILOSA - MOROGORO!

Na mm nlianza km alivoanza mkuu Manchid
Mm mbuzi zangu nlikuwa nanunua Mnadani pale MKONGENI wakati wa kiangazi kisha nawasafirisha mpk Msowero!

Mm nlianza na Mbuzi 24 nliowanunua kwa awamu mdogo mdogo... kulingana na KUCHANGAMKA KWA MNADA!
Nlinunua Mbuzi vijana wanaokaribia kupandwa!
Kuna wachache kama 6 hv nliwanunua wakiwa na Mimba! Mbuzi Nlinunua majike 22 na madume 2!

Nlianza kununua Mbuzi na kwaAttach kwa wafugaji wazoefu wa Kisukuma Kijijini huku nikijipanga kutafuta eneo langu ntakalojenga Mabanda ya Mbuzi! Tayari nimeshapata eneo sasa nakusanya nguvu kujenga banda bora kisha niwahamishe kutoka kwa Wafugaji!

Binafsi changamoto nlioiona kubwa ni Magonjwa japo tumejitahidi kuyadhibiti kwa kutumia Chanjo ambazo wafugaji wng wamekuwa wakishauri na mm kuzinunua Kariakoo sokoni!

Changamoto nyingine ni ndama kuliwa na fisi! Hii suluhisho lake ni kujenga Mabanda bora na imara! Kwa sasa tumeimairisha ulinzi ktk mazizi yaliyopo ya kienyeji!

Mpk sasa ufugaji una miezi 6 lakini naridhishwa na uzaaji unavoendelea! Nina ndama kadhaa waliozaliwa kati ya December na March mwaka huu...

Nilifanya Mawasiliano na kituo cha utafiti TALIRI Mpwapwa kujua upatikanaji wa Mbuzi aina BOER... walinambia wao wanao lkn sio wa kuuza! Wanawatumia kwa CROSSBREED na Mbuzi wa Asili kisha hao wanaozaliwa ndio wanawauza kwa wahitaji! Pia walinambia kuwanunua lazima uweke ORDER na kabla hawajazaliwa!

Pichani ni baadhi ya Mbuzi zangu!

Tujifunze kwa Maendeleo! View attachment 1760060View attachment 1760061View attachment 1760062View attachment 1760064View attachment 1760063

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hongera Sana mkuu na Mungu akubariki kazi ya mikono yako changamoto tunazokutana nazo tutazidi kusitatua kadri ya uelewa wetu,kuwashirikisha wataalamu wa mifugo na kubadilishina mawazo humu humu hakika safari yenye mafanikio haikosi changamoto tutafika mkuu Mungu azidi kutulinda na kutupa akili kubwa zaidi
Huu uzi ni darasa tosha!
Hongera sana Mkuu Manchid kwa kuanzisha uzi huu!

Mm pia ni Mfugaji wa Mbuzi! Nlianza October mwaka jana!
Naishi DSM lkn Mbuzi zangu nafugia kata ya MSOWERO wilayani KILOSA - MOROGORO!

Na mm nlianza km alivoanza mkuu Manchid
Mm mbuzi zangu nlikuwa nanunua Mnadani pale MKONGENI wakati wa kiangazi kisha nawasafirisha mpk Msowero!

Mm nlianza na Mbuzi 24 nliowanunua kwa awamu mdogo mdogo... kulingana na KUCHANGAMKA KWA MNADA!
Nlinunua Mbuzi vijana wanaokaribia kupandwa!
Kuna wachache kama 6 hv nliwanunua wakiwa na Mimba! Mbuzi Nlinunua majike 22 na madume 2!

Nlianza kununua Mbuzi na kwaAttach kwa wafugaji wazoefu wa Kisukuma Kijijini huku nikijipanga kutafuta eneo langu ntakalojenga Mabanda ya Mbuzi! Tayari nimeshapata eneo sasa nakusanya nguvu kujenga banda bora kisha niwahamishe kutoka kwa Wafugaji!

Binafsi changamoto nlioiona kubwa ni Magonjwa japo tumejitahidi kuyadhibiti kwa kutumia Chanjo ambazo wafugaji wng wamekuwa wakishauri na mm kuzinunua Kariakoo sokoni!

Changamoto nyingine ni ndama kuliwa na fisi! Hii suluhisho lake ni kujenga Mabanda bora na imara! Kwa sasa tumeimairisha ulinzi ktk mazizi yaliyopo ya kienyeji!

Mpk sasa ufugaji una miezi 6 lakini naridhishwa na uzaaji unavoendelea! Nina ndama kadhaa waliozaliwa kati ya December na March mwaka huu...

Nilifanya Mawasiliano na kituo cha utafiti TALIRI Mpwapwa kujua upatikanaji wa Mbuzi aina BOER... walinambia wao wanao lkn sio wa kuuza! Wanawatumia kwa CROSSBREED na Mbuzi wa Asili kisha hao wanaozaliwa ndio wanawauza kwa wahitaji! Pia walinambia kuwanunua lazima uweke ORDER na kabla hawajazaliwa!

Pichani ni baadhi ya Mbuzi zangu!

Tujifunze kwa Maendeleo! View attachment 1760060View attachment 1760061View attachment 1760062View attachment 1760064View attachment 1760063

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Leo nmebatika kupata mapacha Mbuzi wawili wamezaa mmoja kazaa mtoto mmoja na mwingine kazaa watoto wawili
Hakika utukufu ni wa mwenyezi Mungu pekee
Tuendelee kuwa Inspire watu wengine ambao walikua wanatamani kuingia huku Ila wanaogopa wawe na moyo mgumu wa kuamua.
IMG20210422143458.jpeg
 
Boss mara nyingi kanga wa kununua wanakuaga watata Sana kuzoea mazingira labda kama Una uzio, me Nina uzio so wanashinda ndani na wanataga Hawa ndege askwambie mtu aisee nilichofanya ni nmewakata mbawa zao Kwa kutumia mkasi ili zisiote tena wamezoea na wanalala na kutagia ndani
Sasa hivi nimenunua vifaranga 10 wa kanga wenye umri wa mwezi mmoja. Wakubwa nimewakata manyoya ya mbawa. Na nimewachanganya na kuku. Je hayo mayai ya kanga huwa unatotoleshaje?
 
Mkuu unayachukua unawawekea kuku wanayalalia na kuyatotoa vizuri Ila kuku ondoa mayai yake
 
Back
Top Bottom