Ufugaji wa layers

Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
15,333
2,000
Habari za muda huu wanabodi

Naomba kufahamishwa gharama (ijumuishe mtaji, vifaranga, chakula na dawa) za kufuga kuku hawa kwa kuanzia na kuku mia natakiwa kuandaa kias gani

Nimejaribu kusoma threads mbali mbali japo sijazimaliza sjapata iliyoainisha ni mtaji au gharama kias gani natakiwa kuandaa kwa kuwafuga hao viumbe
 
MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
542
500
habari ni njema. kama uko dar es salaam fika pale ilala kama unakwenda hospitali ya amana kuna duka la dawa za mifugu linaitwa FARMERS CENTER ingia pale yupo daktari atakuambia kila kitu unachotakiwa kufanya kuanzia banda, aina ya chakula, kuku aina ipi nzuri, ufugeje kwa faida na wana vipeperushi na vitabu vya kukusaidia ikiwa utapenda kuchukua. vilevile anaweza kukukutanisha na wafugaji wakubwa wa kuku wa mayai walio karibu na eneo lako ili uweze kujifunza kwao.
 
Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
15,333
2,000
Samahani ninaiona sasa hivi reply yako

Nipo tanga na huu mradi ntaufanyia hapa hapa tanga hauna mtu unamjua kwa tanga au nikienda maduka ya mifugo naweza pata pa kuanzia??

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,041

Nipo kwenye groups kadhaa za Whatsapp za ufugaji na kilimo, I am sure huko utapata msaada mkubwa sana, otherwise nenda kwenye maduka ya pembejeo
 
Maccavelli

Senior Member
Jul 18, 2018
174
250
Habari za muda huu wanabodi

Naomba kufahamishwa gharama (ijumuishe mtaji, vifaranga, chakula na dawa) za kufuga kuku hawa kwa kuanzia na kuku mia natakiwa kuandaa kias gani

Nimejaribu kusoma threads mbali mbali japo sijazimaliza sjapata iliyoainisha ni mtaji au gharama kias gani natakiwa kuandaa kwa kuwafuga hao viumbe
Tanga eneo gani na unataka kuanza na Kuku wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,041
2,000
Source nyingine ambayo ni reliable kuna apps za ufugaji na Kilimo zipo playstore, you can also download. Information is power
 
Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
15,333
2,000
Nilikua na hili wazo nijaribu huko, asante jwa ushauri wako
Nipo kwenye groups kadhaa za Whatsapp za ufugaji na kilimo, I am sure huko utapata msaada mkubwa sana, otherwise nenda kwenye maduka ya pembejeo
 
Madame S

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
15,333
2,000
Search name yake mkuu au niandike tu ufugaji zitakuja?
Source nyingine ambayo ni reliable kuna apps za ufugaji na Kilimo zipo playstore, you can also download. Information is power
 
MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
542
500
MADAME groups ni nzuri kama utampata mfugaji wa uhakika na sio mhamasishaji otherwise tafuta watu wanaofuga kwa kiwango kikubwa pia ni lazima upate duka mabapo utanunua vyakula na madawa na kupata mtaalamu wa uhakika ambaye ukiwa na tatizo atakusaidia. sio shida inatokea ndio unaanza kukimbia kimbia kutafuta daktari.weka gharama za mtaalamu ili upate matokeo bora.
 
sorry kwa kujibu late, ninafuga kuku wa nyama alhamdulillah wananilipa so kidogo vi idea vya wapi ntapata chakula bora na daktar au mtaalam sina shaka nalo shida nilitaka tu kujua estimated cost ya kufuga layers itabidi niweke pesa ndefu pia kwa ajili ya gharama za mtaalam na vyakula, asante mkuu
 
kenzi

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
428
500
U mean kuku mia naotaka kuanza nao laki tisa mkuu?? Au mie sjaelewa
Amemaanisha kuanzia gharama za kununua vifaranga mpka waje wafike umri wa kuanza kutaga, watakuwa na thamani ya 9,000 kila kuku. Ina maana uandae lak tisa. Ila si haba ukaweka zaidi ya hapo ili uwe na emergency

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom