Ufugaji wa kuku wa kienyeji aina ya Kuchi

Ufugaji wa kuku wa kienyeji aina ya Kuchi

ILLUNGU

Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
35
Reaction score
7
Wana JF, naomba mnijulishe ni wapi nitapata kuku wa kienyeji aina ya kuchi maana nasikia kuwa kuku mmoja ana nyama kati ya kilo 4 mpaka 8
 
JAMANI NAOMBA MNIJUZE KUHUSU KUKU AINA YA KUCHI ili nijue bei na pa kuwapata. Je wana sifa gani tofauti na kuku wengine?
 
Kilo nane, mhhh ndoto za alinacha
 
Back
Top Bottom