Anza na majike wa4 na dume 1
Anza na majike wa4 na dume 1
Hebu jaribu kuweka mazingira yanayohitajika kwa mfugaji anayeanza,yaani nini kinahitajika.
Mimi ninao kama 50 hivi. Ni kweli wanalipa ukiwa na ''order'' kwa kuwa Wa-TZ wengi hii nyama ni anasa kwao. Nakushauri uatafute mayai yao umpe kuku alalie halafu ukuze vifaranga. USINUNUE wale wa barabarani wako stressed sana na hii huwaathiri sana katika utagaji mayai na kuyatamia. Ila wanakula sana kwa hiyo usiwe bahili
Unalipa ukiwa una nia hasa ya kuwa mfugaji wa bata mzinga. Mimi nilianza na turkey wawili jike na dume. nzao ya kwanza alitaka maya 13 nikamnyang'anya na kuyaweka kwenye incubetor nikamwachia yai moja alalie ili kumpunguzia kihoro maana alikuwa anatafuta mayai yake pale nje alipotaga nikamhamishia ndani ili kumuepusha na kuliwa na wanyama usiku. alitotoa kifafanga chake kimoja nikamnyang'anya mtoto nikamlea pamoja na wale walioanguliwa na mashine. Bbaada ya muda mfupi alitaga tena nzao ya pili mayai 14 nikampokonya yote nikaweka kwenye mashine wakaanguliwa watiti wote nikawalea . kwa vile ni wagumu kuwalea vifaranga wa bata walikufa wawili bila kujua ni nini kimewaua, Nililea watoto hao wakawa wakubwa nikawauza kila mmoja sh elfu hamsini, Nikaendelea na kazi yangu ya kumsaidia mama bata kuangua na kulea yeye ikawa kazi yake kutaga tu , ninapokwambia ninalea vifaranga wengine kumi ambao sitarajii kuwauza kwanza ili nijaze banda zima. Kwa picha baadhi ya poultry mama ninaowalea ili watoto nipeleke shambani niliweka kwenye profile yangu fb. Nemyingwa mhina, utajifunza ninavyijitahidi kuwatunza kwa uangalifu mkubwa, maana kuwakuza turkey chicks ni kazi kidogo kwani wanakufa sana.
hivi hizi story za kumlisha kifaranga yai moja kila siku kwa muda wa siku 40 ni kweli?
Heshima yako mkuu...naweza pata mbegu toka kwako? Kama inawezekana naomba niPMUnalipa ukiwa una nia hasa ya kuwa mfugaji wa bata mzinga. Mimi nilianza na turkey wawili jike na dume. nzao ya kwanza alitaka maya 13 nikamnyang'anya na kuyaweka kwenye incubetor nikamwachia yai moja alalie ili kumpunguzia kihoro maana alikuwa anatafuta mayai yake pale nje alipotaga nikamhamishia ndani ili kumuepusha na kuliwa na wanyama usiku. alitotoa kifafanga chake kimoja nikamnyang'anya mtoto nikamlea pamoja na wale walioanguliwa na mashine.
Baada ya muda mfupi alitaga tena nzao ya pili mayai 14 nikampokonya yote nikaweka kwenye mashine wakaanguliwa watiti wote nikawalea . kwa vile ni wagumu kuwalea vifaranga wa bata walikufa wawili bila kujua ni nini kimewaua, Nililea watoto hao wakawa wakubwa nikawauza kila mmoja sh elfu hamsini, Nikaendelea na kazi yangu ya kumsaidia mama bata kuangua na kulea yeye ikawa kazi yake kutaga tu , ninapokwambia ninalea vifaranga wengine kumi ambao sitarajii kuwauza kwanza ili nijaze banda zima. Kwa picha baadhi ya poultry mama ninaowalea ili watoto nipeleke shambani niliweka kwenye profile yangu FB. Nemyingwa mhina, utajifunza ninavyijitahidi kuwatunza kwa uangalifu mkubwa, maana kuwakuza turkey chicks ni kazi kidogo kwani wanakufa sana.
Unajua kweli kulea! Lakini mbona nasikia ulikimbia mke na watoto?Unalipa ukiwa una nia hasa ya kuwa mfugaji wa bata mzinga. Mimi nilianza na turkey wawili jike na dume. nzao ya kwanza alitaka maya 13 nikamnyang'anya na kuyaweka kwenye incubetor nikamwachia yai moja alalie ili kumpunguzia kihoro maana alikuwa anatafuta mayai yake pale nje alipotaga nikamhamishia ndani ili kumuepusha na kuliwa na wanyama usiku. alitotoa kifafanga chake kimoja nikamnyang'anya mtoto nikamlea pamoja na wale walioanguliwa na mashine.