Ufugaji samaki

Ufugaji samaki

sawa,kwa hyo unamaanisha chakula cha laki 6 kinatosha kwa miezi yote 6?
Samaki wanapokua wadogo kunachakula Cha unga wanatumia kwa miezi 3 ambayo ni mifuko 2 baada ya happo Kuna chakula hicho nilichopiga picha hapo Kama vipunje (pillets) hicho Sasa ndo wanatumia kuanzia hio 3 mpk 6 lkn Kuna chakula Cha asili ambacho tunqwashauri wateja wetu wakitumie sio gharama
 
Mi naomba kujua,

Why ufugaji wa samaki sio endelevu? Yaan why ununue vifaranga 3,000 ufuge mpaka wakue utoe hao hao 3,000 ukauze (hapo tuseme hawajafa au kuibiwa), why isiwe tu ueke wawe wanazaana pia uwe unatoa tu wakubwa na kuuza, vichanga vinaendelea kukua vikikua unauza huku wengine wanazaan huko huko?

Tatizo la kufuga kiuendelevu ni lipi zaidi?
Asante mkuu kwa swali zuri
Kwanza kbs mbegu za samaki zipo aina mbili (1) wanaozaliana (2) wasiozaliana yani jinsia moja ,,

Sasa kikawaida samaki hufugwa kulingana na ukubwa wa bwawa yani samaki 1000 kwa 100 mita za eneo Sasa ukiweka wanaozaliana idadi itazidi kwahio watadumaa hao wasiozaliana ni kibiashara zaidi ,,,

Karibu kwa swali jengine Kama unalo
 
Nafanya research niandike gharama na mahitaji yote muhimu ili niweze kuingia katika ufugaji huu...

Nisaidie kupata michanganuo mkuu..
 
kwa upande wa moshi kijiji cha machame kati je ukifuga sato wa tafaa
 
Zipo eka tano zinafaa kwa ufugaji samaki,hauitaji kujengea bwawa,zipo kibaha,chanzo cha maji cha huakika.anayeitaji karibu pm
 
Back
Top Bottom