Ufugaji samaki

Ufugaji samaki

Mhdiwani

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
650
Reaction score
712
Kwa mdau yeyote anaetaka au anaevutiwa na ufugaji wa samaki aina ya sato na kambale basi karibu sana

Sisi tunajihusisha na kumtembelea mfugaji na kumshauri Kama eneo linafaa au halifai
Lkn pia usimamizi wa mradi na ushauri mpk atakapovuna samaki
Karibuni sana
0769269630whatsapp
0769215574 call
FB_IMG_15989487212665164.jpg
IMG-20200929-WA0000.jpg
FB_IMG_15997587994192200.jpg
 
Kwasasa Mkuu bei ya kambale kwa kilo inaenda kiasi gani sokoni kama ninao nataka kuuza?
 
Uwekezaji ukoje chief.heb dadavua kdogo kwa uwekezaj mdogo .na matokeo ya uwekezaj yaan biashara..mfano..kama bwawa ka ukubwa flan la bei flan linaweza toa samak sato kias flan au kambale..na samaak yupi ana soko zuri..hyo naongelea kama nataka kuwekeza dar ama mkoa wa pwan
 
Kwa mdau yeyote anaetaka au anaevutiwa na ufugaji wa samaki aina ya sato na kambale basi karibu sana

Sisi tunajihusisha na kumtembelea mfugaji na kumshauri Kama eneo linafaa au halifai
Lkn pia usimamizi wa mradi na ushauri mpk atakapovuna samaki
Karibuni sana
0769269630whatsapp
0769215574 callView attachment 1589816View attachment 1589817View attachment 1589818
1) Hiyo Picha ya Pili umeshika nini?
2) Soko la samaki likoje?
3) Gharama za kumlisha samaki mpaka afikie hiyo picha ya tatu ni kias gani?
4) Na Utamuuzaje?
5) Wewe gharama zako ni kias gani kama mshauri?
 
Uwekezaji ukoje chief.heb dadavua kdogo kwa uwekezaj mdogo .na matokeo ya uwekezaj yaan biashara..mfano..kama bwawa ka ukubwa flan la bei flan linaweza toa samak sato kias flan au kambale..na samaak yupi ana soko zuri..hyo naongelea kama nataka kuwekeza dar ama mkoa wa pwan
Ok mfano bwawa lenye uwezo wa kubeba sato 3000 ni mita30 kwa 10 Sasa kifaranga Cha sato ni 300 kimoja Sasa vifaranga 3000 ni laki 9 hapo Kuna vitu vidogo utanunua Kama agriculture lime na mbolea lkn kuhusu chakula inategemea na mapokeo ya samaki lkn ukinunua mifuko kumi ya chakula ambapo mmoja ni 60000 kwahio ni laki sita
Sasa kwa ulishaji wa chakula hicho bora utatoa samaki 4 wanaangusha kilo moja kwahio kwa samaki 3000 ni kilo 750
Kwa dar kilo ya sato ni 10000 kwahio hapo Kuna million 7 na nusu kwahio ukitoa gharama zote mpk uchimbaji hukosi 5 million na samaki wanakua kwa miezi 6_7
 
1) Hiyo Picha ya Pili umeshika nini?
2) Soko la samaki likoje?
3) Gharama za kumlisha samaki mpaka afikie hiyo picha ya tatu ni kias gani?
4) Na Utamuuzaje?
5) Wewe gharama zako ni kias gani kama mshauri?
Picha ya pili ni chakula Cha samaki
Soko la samaki lipo Sasa inategemea upo mkoa gani lkn soko lipo kuanzia jamii inayo kuzilunguka mpk sokoni kwenyewe na sisi pia tuna connection na wanunuzi

Gharama ya kumlisha samaki mpk awe hapo alipo sio kubwa sana inategemea na ufugaji wako Kama unazingatia space za ukubwa wa bwawa na idadi ya samaki kwasababu mi Kama mtaalam hua Kuna chakula Cha asili namfundisha mteja wangu ili asinunue chakula kingi,,

Samaki anauzwa kwa kilo kwa mfano
Mbeya kl 8000
Dar 10000
Tanga 8000
 
Asante kwa taarifa,ninatarajia kuchimba mabwawa mawili kwenye kiwanja changu Dodoma Mjini ili nifanye ufugaji wa Sato na Sangara,je kwa utaalamu wako unaizungumziaje hali ya hewa ya Dodoma??nitafanikiwa??

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ufugaji wa samaki aina ya kambale na sato inahitaji 25-31 nyuzi joto
 
Ok mfano bwawa lenye uwezo wa kubeba sato 3000 ni mita30 kwa 10 Sasa kifaranga Cha sato ni 300 kimoja Sasa vifaranga 3000 ni laki 9 hapo Kuna vitu vidogo utanunua Kama agriculture lime na mbolea lkn kuhusu chakula inategemea na mapokeo ya samaki lkn ukinunua mifuko kumi ya chakula ambapo mmoja ni 60000 kwahio ni laki sita
Sasa kwa ulishaji wa chakula hicho bora utatoa samaki 4 wanaangusha kilo moja kwahio kwa samaki 3000 ni kilo 750
Kwa dar kilo ya sato ni 10000 kwahio hapo Kuna million 7 na nusu kwahio ukitoa gharama zote mpk uchimbaji hukosi 5 million na samaki wanakua kwa miezi 6_7
Mkuu hizo kilo 750 za chakula hao samaki 3000 wanakimaliza baada ya muda gani?
 
Sio kilo 750 za chakula hizo ni kilo 750 za samaki
Hio hesabu ni kwamba ukilisha chakula kizuri nilichoshauri hapo juu kwa samaki 3000 unapata kilo 750 za samaki
 
sawa na pale uliposema samaki 4 wanamaliza kilo 4 za chakula ni baada ya muda gani wanamaliza hizo kilo 4?

Hpn nimesema baada ya kuwapa chakula hicho kizuri chenye virutubisho vyote
Basi samaki 4 wanakua na kilo moja
Inaweza mpk 3 kwa kilo lkn kibiashara na uzoefo wangu wateja wengi wanapenda kwenye kilo waingie samaki wengi
Ndo maana hata samaki wakiwa na miezi 5 bwawani Kama 4 wanaangusha kilo moja badi tunavuna
 
Wapo wanaonunua 10000 rejareja na 8000 jumla
Asante kwa taarifa Ndugu nikihitaji connection ya wateja kwa mwakani na wewe utakua na mgawo wako kutoka kwangu ninaweza kupata huo msaada?
 
Usjali mkuu tupo pamoja we ukiwa na mzigo utaniambia kwasababu sisi tunaodili na hizi kazi pia Kuna wanaonunua samaki wanatutafuta
 
Hpn nimesema baada ya kuwapa chakula hicho kizuri chenye virutubisho vyote
Basi samaki 4 wanakua na kilo moja
Inaweza mpk 3 kwa kilo lkn kibiashara na uzoefo wangu wateja wengi wanapenda kwenye kilo waingie samaki wengi
Ndo maana hata samaki wakiwa na miezi 5 bwawani Kama 4 wanaangusha kilo moja badi tunavuna
sawa,kwa hyo unamaanisha chakula cha laki 6 kinatosha kwa miezi yote 6?
 
Usjali mkuu tupo pamoja we ukiwa na mzigo utaniambia kwasababu sisi tunaodili na hizi kazi pia Kuna wanaonunua samaki wanatutafuta
Asante Mkuu Mungu akipenda mwakani nitakutafuta tufanye biashara.
 
Usjali mkuu tupo pamoja we ukiwa na mzigo utaniambia kwasababu sisi tunaodili na hizi kazi pia Kuna wanaonunua samaki wanatutafuta
Mi naomba kujua,

Why ufugaji wa samaki sio endelevu? Yaan why ununue vifaranga 3,000 ufuge mpaka wakue utoe hao hao 3,000 ukauze (hapo tuseme hawajafa au kuibiwa), why isiwe tu ueke wawe wanazaana pia uwe unatoa tu wakubwa na kuuza, vichanga vinaendelea kukua vikikua unauza huku wengine wanazaan huko huko?

Tatizo la kufuga kiuendelevu ni lipi zaidi?
 
Back
Top Bottom