Ufugaji nyuki wa kisasa

A
Asante kwa kuwasilisha, kazi zote ulizozitaja apo juu zinaweza kufanyika kama zitaweza kuzingatiwa. Wasiliana nasi kwa namba 0758789956
 
Inawezekana. Nakushauri uonane na wataalamu wa misitu wanaodeal na mazao ya misitu kama asali, watakuoa guidance.....

Ila inawezekana kuwavutia nyuki katika mzinga ili waanzishe koloni lao....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi ambacho nyuki wakiwa na asali nyingi,baadhi yao huuawa na nyuki wengine but kwa case yako sidhani Kama ndio tatizo.

Pengine angalia upatikanaji wa maji Karibu Kama yapo ama la. Kama hamna chimba shimo chini ya mzinga Kisha weka kikopo ili wasichoke kutafuta maji kwa umbali mrefu.

But I guess watakuwa walienda kwenye maua ambayo yalipuliziwa dawa.
 
Salama wakuu,

Nimekuwa nikikabiliwa na changamoto ya nyuki kufa kwenye mizinga kwa sababu ambazo sijazielewa mpaka sasa.

Kwa wazoefu wa nyuki, ni mambo gani hasa yanaweza kupelekea nyuki kufa?
View attachment 1286616
Sababu ya nyuki kufa katika mizinga yako inaweza changiwa na sababu mbalimbali
1. Ni kuwepo karibu kwa mashamba ya ya mazao ambayo yamepuliziwa dawa, nuuki uweza kuzipata izo dawa wakati wakiwa wanachavusha mazao hayo na izo dawa kuwaletea madhara.
2. Kuingiliwa na ugonjwa.
Izo ni baadhi ya sababu
 
Kazi ngumu da watu na gani zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lovely
 
Kiongozi naomba mawasiliano yako
 
kiongozi upo vizuri.... mwaka huu nimeanza mradi wa Nyuki nimeweka mizinga 30 lakini nimetundika tuu kienyeji Nyuki waje wenyewe zishapita wiki tatu tunasubiria tuu. Niliambiwa rahisi kumbe kuna mambo mengi piya....
 
kiongozi upo vizuri.... mwaka huu nimeanza mradi wa Nyuki nimeweka mizinga 30 lakini nimetundika tuu kienyeji Nyuki waje wenyewe zishapita wiki tatu tunasubiria tuu. Niliambiwa rahisi kumbe kuna mambo mengi piya....
Mkoa gani mkuu?
 
Mtu mwenye uzoefu wa kufuga nyuki Malvina asali.

Tafadhali tujuzane nikitaka kuanza walau na mizinga 10, nitavuna kiasi gani cha asali, pia naomba nipate uzoefu namna ya kuwashawishi nyuki kuingia kwenye mizinga haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aina ya mzinga, eneo la ufugaji ndizo determinant za asali kiwango gani pia nyuki kuvutiwa na mazingira fulani
 
Wadau kwa mwenye uelewa kuhusu hiyo taaluma naomba kujuzwa maana mdogo angu amechaguliwa koz hiyo tabora kupitia tamisemi baada ya kumaliza kidato cha nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…