Ufugaji nyuki wa kisasa

A
Wakuu,
Ningependa kufahamu yafuatayo,

1. Je! ni kweli upo utaalamu wa kuzalisha makundi ya nyuki na kuwahamishia kwenye mizinga?

2. Zoezi hilo huchukua muda gani hadi kuzalisha malikia mpya na kundi jipya?

3. Humu yupo mtu anayefanya hiyo kazi anayeweza kutoa ushuhuda au kuonesha practice?
3. Mfumo huo una ufanisi kiasi gani na changamoto zinazotegemewa ni zipi?

nawasilisha.
Asante kwa kuwasilisha, kazi zote ulizozitaja apo juu zinaweza kufanyika kama zitaweza kuzingatiwa. Wasiliana nasi kwa namba 0758789956
 
Dah, mkuu shukurani sana. Hii ndio nguvu ya JF. hii inaweza kujibu maswali mengi sana.

Vipi kuhusu kupata makundi mapya ya nyuki? kuna watu wanaweza kuzalisha makundi kweli na ku supply kwa wengine au story, maana kuna kipindi kuna jamaa alisema anazalisha lakini lilivyomtafuta akaonekana kama ana story nyingi kuliko matokeo.

Hilo linawezakana kweli?
Inawezekana. Nakushauri uonane na wataalamu wa misitu wanaodeal na mazao ya misitu kama asali, watakuoa guidance.....

Ila inawezekana kuwavutia nyuki katika mzinga ili waanzishe koloni lao....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi ambacho nyuki wakiwa na asali nyingi,baadhi yao huuawa na nyuki wengine but kwa case yako sidhani Kama ndio tatizo.

Pengine angalia upatikanaji wa maji Karibu Kama yapo ama la. Kama hamna chimba shimo chini ya mzinga Kisha weka kikopo ili wasichoke kutafuta maji kwa umbali mrefu.

But I guess watakuwa walienda kwenye maua ambayo yalipuliziwa dawa.
 
Salama wakuu,

Nimekuwa nikikabiliwa na changamoto ya nyuki kufa kwenye mizinga kwa sababu ambazo sijazielewa mpaka sasa.

Kwa wazoefu wa nyuki, ni mambo gani hasa yanaweza kupelekea nyuki kufa?
View attachment 1286616
Sababu ya nyuki kufa katika mizinga yako inaweza changiwa na sababu mbalimbali
1. Ni kuwepo karibu kwa mashamba ya ya mazao ambayo yamepuliziwa dawa, nuuki uweza kuzipata izo dawa wakati wakiwa wanachavusha mazao hayo na izo dawa kuwaletea madhara.
2. Kuingiliwa na ugonjwa.
Izo ni baadhi ya sababu
 
malikia akishazalishwa anapelekwa kwenye mzinga wenye nyuki wadogo,wakubwa huwa tifu kumkubali malkia ,na kuna utaratibu wa kumuweka mpaka akubalike vinginevyo atauwawa na nyuki ,unapomuweka kwenye mzinga lazima usome saikologia ya nyuki ,unamuweka kwenye cage maalumu yenye wavu,kisha unaitia ndani ya mzinga,ukiona nyuki wamekuwa na vurugu na wanamzonga kwenye cage ujue kimenuka mtoe hawajamkubali,utaendelea na zoezi hili mpaka nyuki wa react passive,itakupasa kumpakaa malkia asali kutoka kwenye mzinga unaotaka kumuweka ili akubalike kirahisi pale nyuki wanapomkataa,mizinga inapaswa iwekaribu na unapoishi
Kazi ngumu da watu na gani zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumewai fanya hii ya kuzalisha makundi ya nyuki na pia uzalishaji wa malkia wa nyuki...Ni raisi Tena Sana Kama una vifaa.
Nyuki wanamtengeneza malkia wenyewe na wanaweza tengeneza ata malkia 100 kwenye mzinga mmoja! Kuna vifaa maalumu kwa kazi hii,sisi tuliagiza China kupitia alibaba.kuna Queen cells (za plastic) ambazo unaweka katika mzinga na unachukua mayai alaiyotaga malikia wa nyuki na kuyaweka katika hizi Queen cells.nyuki watazitunza hizi Queen cell zenye mayai kwa kulisha chakula special Cha malkia wa nyuki kinachoitwa queen jerry.nyuki wakiona queen cells wao wanalisha chakula Cha kuzalisha malkia aijalishi idadi ya queen cells katika mzinga.unaweza zalisha ata queens 300 au zaidi kwa Mara moja toka mzinga mmoja...ila queen 2 awawezi kaa katika mzinga mmoja...nyuki upiganisha malkia mpaka mmoja afe mmoja abakie....so kabla malkia awatotolewa inabidi uhamishe hizo queen cells...iwapo Kama unataka kufanya hili zoezi tuwasiliane..na few queen cells za plastics so unaweza jaribu...mwakani 2020 nna mpango wa kuanzisha project ya mizinga 10.000 Morogoro tunajenga queen realing lab ndani ya viwanja vya nane nane...wameshatupatia eneo pale na tulishalipa fees zao.
Cell ya kuzalisha malikia huwa inaangalia chini tufauti na za kuzalisha nyuki wa kawaida..nimeweka picha hapa ili uweze tambua queen cellzView attachment 1287038View attachment 1287038
Lovely
 
Kiongozi naomba mawasiliano yako
 
kiongozi upo vizuri.... mwaka huu nimeanza mradi wa Nyuki nimeweka mizinga 30 lakini nimetundika tuu kienyeji Nyuki waje wenyewe zishapita wiki tatu tunasubiria tuu. Niliambiwa rahisi kumbe kuna mambo mengi piya....
 
Mkoa gani mkuu?
 
Mtu mwenye uzoefu wa kufuga nyuki Malvina asali.

Tafadhali tujuzane nikitaka kuanza walau na mizinga 10, nitavuna kiasi gani cha asali, pia naomba nipate uzoefu namna ya kuwashawishi nyuki kuingia kwenye mizinga haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aina ya mzinga, eneo la ufugaji ndizo determinant za asali kiwango gani pia nyuki kuvutiwa na mazingira fulani
 
Wadau kwa mwenye uelewa kuhusu hiyo taaluma naomba kujuzwa maana mdogo angu amechaguliwa koz hiyo tabora kupitia tamisemi baada ya kumaliza kidato cha nne.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom