Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

20250117_163446.jpg
Hili Dume la isiolo/Galla lilinigarimu sh laki 9 na nauli35 elfu toka Kenya mpaka Tz Dar.
 
20250224_172043.jpg

Majike wa isiolo/Galla na huwa wanaanzia laki 2.5 mpaka laki 3.5, usafiri kwa kila mmoja ni 35 mpaka Dar
 
Hii mbinu ya kuweka matarajio ya kupata mbuzi mapacha ungeachana nayo kwasasa. Focus na idadi ya mbuzi ulionao kuleta mtoto m'moja then uendelee na hizo hesabu.
 
Hii mbinu ya kuweka matarajio ya kupata mbuzi mapacha ungeachana nayo kwasasa. Focus na idadi ya mbuzi ulionao kuleta mtoto m'moja then uendelee na hizo hesabu.
Hilo mara nyingi sana najitahidi kuwaeleza wafugaji hasa wachanga maana wengi wetu wanahisi uzwalishaji wa mapacha ndio kuongezeka kwa Mbuzi zizini mwako, kumbe na matunzo pia uhitajika hasa ya Mama Mbuzi kutoa maziwa ya kuwatosheleza vyema na kuwaepusha na maambukizi ya magonjwa mbali mbali na kuwaepusha na wadudu wabaya sana viroboto.
 
Ndio maana nawa sisitiza kutembelea wafugaji wenzenu itatusaidia kujifunza zaidi ktk kukuza kipato na kufuga vyema. Hata Taliri pia wana toa Mbegu nzuri za Mbuzi, gogo white, blended na wengineo hao wana zalishwa na vituo vya serekali TALIRI.
TALIRI hawajibu meseji wala kupokea simu. Changamoto sana
 
Mimi nafuga Boer na Red kalahare wote walitoka Namibia. Ni moja ya Mbuzi wenye uzito mkubwa na watoto wanaozaliwa na hawa Mbuzi wanakua kwa haraka.
Angalizo: hawa mbuzi pindi wanapofika unapashwa kuwaangalia kwa ukaribu sana ili waweze kubadili mazingira na kukubaliana na ya kwetu.
Tukumbuke hawa kwasababu bado hatujawazalisha wakutosha Nchini kwa sasa bei yake ni kubwa kwahiyo mwekezaji ukiwekeza lazima usimamie mwenyewe kwa juhudi kubwa ili uipate faida ya ulichowekeza.
Tunasema wewe mwenye mradi ndio, mlinzi,vet,mchungaji namba moja ktk mradi wako usiache usimamizi kwa kijana peke yake wala usifuge kwa rimoti kama unatazama TV.
Na unapotqka kuwekeza kwenye hizi mbegu kumbuka uwe umejiandaa majike wa kutosha ili uweze kuzalisha Mbelelo wa kutosha uweze kuiona faida ya uwekezaji.
Mimi natumia majike wa Mubende kuotoka karagwe.
Mbuzi hawa wanaletwa na Mavuno Ranches waliopo kimanzicha, njia ya mkuranga. Namba yao ya simu +255713282715 Mavuno Ranches.
 
Attachments

  • 20260403_155750.jpg
    20260403_155750.jpg
    1.2 MB · Views: 21
  • 20260322_101154.jpg
    20260322_101154.jpg
    1.1 MB · Views: 21
  • 20260322_100002.jpg
    20260322_100002.jpg
    652.3 KB · Views: 18
  • 20260403_132751.jpg
    20260403_132751.jpg
    1.5 MB · Views: 20
Si mbuzi wote watakaoo zaa mapacha hivyo kwenda na record vizuri tumia ratio ya 1.5 au 3 kwa Mwaka.
Niseme tu hii ni dhahabu iliyojificha ambayo wanaofanya hawawezi kukuambia hata kidogo.

Huu ndio mradi nilioamua kuufanya serious kwa Mwaka huu na tayari nimeshaanza. Karibu kwenye team.

Ushauri: ili upate matokeo ya haraka nunua mbuzi wakubwa ambao wamesha zaa japo mara moja
Mkuu tule feedback
 
Kuna mahali nimesoma humu humu wanasema ni mara tatu kwa mwaka!! Nina eneo lipo kwenye wetland nzuri sana nataka nifanye kama karanch kangu japo ni hekari nane tu!!

Ila kukuza mbuzi mwaka na nusu ni hasara kwa kweli, nilijua miezi sita ningepambana kila baada ya miezi sita niuze japo mbuzi 200
Siyo kweli hata kidogo akijitahidi sana sana basi ni mara2 Kwa maana mimba ya mbuzi ni miezi5 hapo anapaswa anyonyeshe miezi2-3 ndo apandee tena hivyo Kwa kawaida mbuzi huzaa mara1 na nusu Kwa mwaka!
 
Nawasalimuni kwa jina la Mungu. naomba niwapongezeni sana nyote ktk kujenga mawazo ya kutaka kuingia ktk miradi kama hii ya ufugaji. Mimi ni mfugaji wa Mbuzi na nina fuga Mbuzi kwa muda mrefu, niwaombeni kitu ufugaji ni mzuri na una faida na changamoto zake, kikubwa ni kukubali kujifunza na kujijengea umakini ktk ukaguzi na usimamizi wa mifugo yako. Kwa aliyepo Dar namkaribisha kwangu aje tujifunze pamoja na tugawene ujuzi kwa pamoja. Kwa anae anaza kufuga nakuomba sana usinunuwe mbegu kwanza kabla hujapita kwetu wafugaji tulio kutangulia ujifunze vitu halafu ndio uingize Mbegu shambani kwako. Karibuni kwa maswali mbali mba;li nipo hapa tutasaidiana kwa kadiri Mungu atakavyo tujaalia.
Habari ndugu,

Habari ndugu, naomba unisaidie kunipa elimu na ushauri kuhusu ufugaji wa mbuzi. Awali niliwai kufuga mbuzi nilianza na mbuzi 30 wakafika Hadi 180+, Lakini waliishia kufa kwa sababu sikuwa na elimu ya kutosha ufugaji. Sasa nimeamua kuanza upya kwa umakini hivyo naomba unipe elimu na pia kupata mbegu Bora za Mbuzi. Nitashukuru sana kwa msaada wako.
 
Vyema sana nakushukur sana kwa kuto kukata tamaa ktk hii sekta ya ufugaji ningekuomba uivumilie kidogo naomba kesho nianze kukuelekeza juu ya ufugaji wa Mbuzi, lakini nitaomba unijibu maswali haya machache kwanza.
Unafugia mkoa gani?
Unataka kufuga Mbuzi wa nyama au wa maziwa?
Ungependa kuwafuga kwa ufugaji wa kuwafungia ndali ukiwaletea malisho au kuwatoa na kuwachunga?
Upande unao fugia unaotaka kufugia wakulima hawapo karibu?
Upande wa malisho kwa huko unakotaka kufugia yapo ya kukutosheleza au utapanda malisho?
Naomba tuanzie hapo na nivyema tukaweka hapa hapa ili kuwasaidia na wengine wenye uhitaji. Ubarikiwe sana.
 
Vyema sana nakushukur sana kwa kuto kukata tamaa ktk hii sekta ya ufugaji ningekuomba uivumilie kidogo naomba kesho nianze kukuelekeza juu ya ufugaji wa Mbuzi, lakini nitaomba unijibu maswali haya machache kwanza.
Unafugia mkoa gani?
Unataka kufuga Mbuzi wa nyama au wa maziwa?
Ungependa kuwafuga kwa ufugaji wa kuwafungia ndali ukiwaletea malisho au kuwatoa na kuwachunga?
Upande unao fugia unaotaka kufugia wakulima hawapo karibu?
Upande wa malisho kwa huko unakotaka kufugia yapo ya kukutosheleza au utapanda malisho?
Naomba tuanzie hapo na nivyema tukaweka apa hapa ili kuwasaidia na wengine wenye uhitaji. Ubarikiwe sana.
Nafugia mkoa wa katavi, mbuzi wa nyama, kwa kuwatoa na kuwachunga, wakulima wapo karibu ila shamba ni ukubwa wa ekari 50, malisho yapo.
 
Nafugia mkoa wa katavi, mbuzi wa nyama, kwa kuwatoa na kuwachunga, wakulima wapo karibu ila shamba ni ukubwa wa ekari 50, malisho yapo.
Hongera sana kwa uthubutu huo hapo umewaweza sana Mbuzi maana wanahitaji nafasi.
 
Back
Top Bottom