UFUASI CHADEMA NI SAWA NA KUMFUATA SHETANI

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,490
13,551
Yaani kuwa mfuasi wa chadema ni sawa na kuwa mfuasi wa shetani, ukiwa mfuasi wa shetani akiona unataka kumuacha anajitahidi akuue ili ufe kama mfuasi wake, na ndiyo ilivyo chadema.

..hahahaha, utani tu jamani.
 
peleka ushamba na utani wako huko lumumba

swissme
 
Yaani kuwa mfuasi wa chadema ni sawa na kuwa mfuasi wa shetani, ukiwa mfuasi wa shetani akiona unataka kumuacha anajitahidi akuue ili ufe kama mfuasi wake, na ndiyo ilivyo chadema.

..hahahaha, utani tu jamani.
Aisee, sio utani mkuu, ni facts.
 
ha ha ha upo sawa mkuu.
Mwaka huu wa UKAWA hatosimamisha mgombea wa urais sbb mzee wa majipu kashika kila kona. Tutapoteza pesa bora tubane matumiz km wenzet wa kijan
 
Yaani kuwa mfuasi wa chadema ni sawa na kuwa mfuasi wa shetani, ukiwa mfuasi wa shetani akiona unataka kumuacha anajitahidi akuue ili ufe kama mfuasi wake, na ndiyo ilivyo chadema.

..hahahaha, utani tu jamani.

We umelogwa cio bure.....!!!
 
Back
Top Bottom