Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

Status
Not open for further replies.
Mtangazaji wa Itv, kapigwa risasi.

Aliempiga yasemekana ni mchumbake somebody mushi, ambae pia kampiga risasi mamake ufo saro na kumuua na kisha yeye mwenyewe mushi kujiua kwa risasi.

Ufo sarro yuko mahututi

Cheki itv breaknews.

--------------------------------
0L7C0700.JPG

---------------------------------







=====================
MORE UPDATES:-
=====================

Duh so sad
 
Kipenda roho. Mushi kafariki hivihivi. Jamaa yangu hapa pembeni anashindwa kuamini kama chanzo ni mapenzi. Ati mbona Ufoo Saro hana mvuto mpaka ujinyonge, au kadhulumu pesa ya Mushi? Rafiki hajui kuna kipenda roho. Poleni wafiwa...
 
aisee....ko hamna cha uanajeshi wala nini....

na mtu ukiambiwa Sudan..moja kwa moja unajua ni Mjeda tu
hakuwa mjeda alikuwa tu mtaalamu wa it tena mchapa kazi mzuri tu kipenzi cha watu na maboss wake ...hata life lake lilikuwa tu la ukweli hakuwa na dhiki kiivo!
 
nakumbuka huyu binti alikuwa akituhabarisha habari za mikutano ya ccm kanda ya ziwa iliyokuwa ikiongozwa na nape na kinana kwa taktiban wiki tatu.
Nasikia yule muuaji au aliekuwa mchumba wake anafanya kazi un southern sudan! Isije kuwa alipata habari za ofoosara kuwa na mtu kule. Si inajuwa tena ccm kwao hiyo ni fani!? Au marehemu alidanganywa kuwa mchumba wake alikuwa na mwigulu mzinzi akaona hakuna haja ya yeye kuendelea kuwa hai!!
uko sawa kabisa atakuwa chemba huyo keshaharibu mambo mushi wereeee
 
Mama Mkubwa Anastazia Saro mama pumzika kwa amani mama,Tutakumbuka milele mama;
Dada yangu mpendwa Ufoo Saro;nakuombea kwa Mungu upone mapema dada;
Sikuamini yaliyotokea, niliona kama ndoto za asubuhi, nilipopokea taarifa za kuwawa kwa mama,niliona kama ndoto za asubihi kusikia dada kapigwa risasi, huku mama kauwawa,

1374314_536114553139210_1907650473_n.jpg
Nimeamini sasa sina mama mkubwa tena,Nimeamini sasa dada yangu kapigwa risasi;
Baba Mungu twakuomba ututie nguvu zaidi baba katika kipindi hiki kigumu;;;
 
You are so excited, you two guys!
sasa tufanyeje jamani..wkend tukishinda bar mnasema sie wahuni...tukienda shopping mnasema tunawafilisi...tukishinda ndani mnasema sie misukule...tukikaa vibarazani mnadai tunajiuza ..jf napo mwatuita mapaparazi ...ngoja nilale mfurahi
 
Kipenda roho. Mushi kafariki hivihivi. Jamaa yangu hapa pembeni anashindwa kuamini kama chanzo ni mapenzi. Ati mbona Ufoo Saro hana mvuto mpaka ujinyonge, au kadhulumu pesa ya Mushi? Rafiki hajui kuna kipenda roho. Poleni wafiwa...

Mbona roho korosho mkuu? Kwa hiyo wasio na mvuto hakuna kupendwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom