Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

Afadhali ume-edit title yako, nilikuwa nimepanga kukushukia kama "long range missile"!
 
We kb kwani itv ni tv ya ccm chama cha wezi. Huyo dada ana haki ya kukunja sura anapotaja shetani (ccm) acha unyumbu shetani (ccm) ndio anamuogopesha huyu dada wala hana shida tatizo lake ni kuwa mtoto wa Mungu.
 
  • Thanks
Reactions: G3T
Acha ujinga. Saro asiwe na haki ya kukisifia anachokipenda lakini wewe umelisifia hilo li chama lako bila aibu. Tulia, mwaka huu mnalo! Usimzulie mtoto wa watu ukamharibia kazi kumbe ni ugomvi wa mtaani,
 
Mnamsingizia sana huyu Dada mbona fresh tu. TBC ndo haifai kuangalia kwanza ukiizoea akili yako inadumaa
 
UMESEMA Tuvumiliane tu kwa sasa....Iweje wewe unashindwa mvumilia UFoo Saro?!!
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Habari za CCM peleka TBC...!!
 
  • Thanks
Reactions: G3T
huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea lowassa ahamie chadema/ukawa kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu chadema/ukawa huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini ufo saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya tanzania cha ccm huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za ccm.

Kwenu uongozi wa itv hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie chadema
/ukawa, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni ccm na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko chadema/ukawa ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

sijui umekula maharage ya wapi wewee??/,unaropoka ropoka ovyo tuu.
 
usiwe mjinga wa kiasi hicho ndugu fikiri kabla ya kuandika chochote
 
Huyu dada kadri siku zinavyoenda nashindwa kumuelewa kwani tokea Lowassa ahamie CHADEMA/UKAWA kila anapokuwa anatangaza habari inayohusu tu CHADEMA/UKAWA huwa anakuwa na furaha ambayo hata huwa anashindwa kuificha, lakini Ufo Saro huyu huyu akiwa anatangaza tu taarifa ya kuhusu chama kizuri, cha Mungu, kitakatifu, bora na chenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania cha CCM huyu dada tena bila hata ya aibu huwa anakunja sana sura yake na hata " tonation " yake huwa ni ya kukasirika na ni kama analazimishwa tu kusoma taarifa za CCM.

Kwenu uongozi wa ITV hebu lifuatilieni hili na mlifanyie kazi vinginevyo huyu binti atawaharibieni kabisa kituo chenu na hatimaye tutajua kuwa pengine anatumika. Halafu na nyie CHADEMA
/UKAWA, kwanini msianzishe tu vituo vyenu vya habari ili mtuondolee hawa waandishi wenye kuacha maadili ya kazi zao na kuweka ushabiki? Kama mtakuwa hamna hela ya mtaji wa kuanzisha hivyo vituo tafadhalini njooni CCM na tutawapeni kama siyo kuwakopesheni na mtaturudishia taratibu tu.

Ufo Saro badilika dada au kama vipi chepuka basi huko CHADEMA/UKAWA ili tujue moja.

Tuvumiliane tu kwa sasa.

Mbona TBC huioni wakati inaendeshwa kwa kodi zetu?Tena bora na ufoo yy analipoti kuliko hao TBC😕
 
Back
Top Bottom