Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,652
- 825
Tungekuwa na viongozi wanaotoa makavu namna hii fasta Tungekuwa mbali sanaAnashukuru Wote kwa Upuuzi Mkubwa Alioufanya? Nyie Vipi badala Ya Kumchana Live Mnabaki Kumpa Maneno Ya Moyo ili Iweje? ACHENI UNAFIKI WENU HAYAWANI WAKUBWA! Hivi Unadhani Marehemu hakuwa na Malengo Yake Ya Kimaisha ambayo Yalikatishwa na UMACHAME WA Huyo UFOO Wenu na Mama Yake? Na Dada Zangu Mkiendelea na Tabia Zenu za Kuchuna na Kuwatumia Wanaume Kwa Maslahi Yenu na Kuwasaliti Yatawakuta Sana Haya Ya Akina UFOO Na Kikubwa Tulieni na Ndoa Zenu au na Wapenzi Wenu na Muwe Wavumilivu na Acheni Tamaa za Kijinga na za Kipumbavu na Epukeni Hayo Maisha Ya Maigizo Sisi Wanaume Tuna Hustle kwa Njia Nyingi hapa Mjini hivyo Tukiwapenda Hebu Nanyi basi Rudisheni Upendo, Uaminifu na Heshima Kwetu. Hongera Kwa Kutoka Hospitalini ila Ningefurahi KAMA UNGEANZISHA KITENGO au NGO MAALUM TU KWA KUTOA USHAURI WA BURE KWA WASICHANA, MABINTI, WANAWAKE na AKINA MAMA Wenye Tabia za Kisanii Kama ULIZOKUWA Nazo hadi Ukakoswakoswa Kwenda Kumwona Sir GOD. Ukome na Nyie Wengine MJIFUNZE na REJEENI ULE USEMI USEMAO " UKIMWONA MWENZIO ANANYOLEWA NA WEWE TIA MAJI".