BHULULU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 4,990
- 2,014
Hiyo user name yako kiboko, nimecheka sana.Kuna mila ambayo Ufoo ame i ignore. hata siku moja mmachame haolewi na mtu kutoka srhemu fulani uchagani. baba Ufoo alilikemea hili ndio maana hakuiva na Mushi. na Mushi kaanza kufika nyumbani kwa mama Ufoo baada ya mdingi kubuta. Hii mila ni ya siku nyingi na laana hii hsitaisha keenye vizazi vya hivi karibuni.