Ufisadi White House

Ufisadi White House

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,469
Sijui wangapi wamemsikiliza Dr. David Peter Beter. Katika audio letter no. 45,topic no. 2. Anasema Jimmy Carter aliuawa 22 April 1978. He was replaced by a robotoid. Sikliza audio no 46 na 47 kuhusu robotods.
No,sijakunywa wine. Zisikilize hizo audio.
 
Andrew Nyerere

Mtaalam mbona sasa huajweka hiyo audio letter au attachment yake?
 
Last edited by a moderator:
Ah, unauliza hiyo audio letter iko wapi? Ipo katika internet. Just google it. Sikliza audio no. 44,kifo cha Henry Kissinger. Sikliza audio 53,kifo cha Shah of Iran. Sikiliza audio no. 54,

kifo cha Ayatollah Khomeini. Sikiliza audio letter 46 na 47,kuhusu biological robotoids,kwa sababu hawa watu wakiuawa,they are replaced by organic robotoids.

Kwa mfano,Jimmy Carter ameuawa April 22,1978. Kwa hiyo if you want to research it,you can start at looking at the Jimmy Carter videos after that date.

Ukizisikiliza hizi kanda,utafahamu kwamba Edward Snowden hajatoa siri zozote. Mambo yanayotokea behind the scenes yanatisha.
 
Sawa mkuu haujanywa wine, weka basi hizo audio zenyewe.
 
Andrew Nyerere,

kwa sisi tusio na access muda huu,nini maoni yako kuhusu hilo la jimmy carter...
 
Last edited by a moderator:
Maoni,sina maoni. Inaelekea wale watu walifaulu kumbadili President. Kama ukigundua wamefanya mabadiliko au usipojua,it does not matter. Wanakwambia,if you have complaints,you must be ready for full scale war. Kulikuwa na incident in September 1977 ambayo inaitwa the Battle of The Harvest Moon. Ilikuwa space war ambapo satelaiti ya Kirusi Cosmos 594 iliangamiza Moon Base,kituo cha Kijeshi cha Wamarekani ambacho kiluwepo kwenye Mwezi,Copernicus Bay.
Kutokea hapo,Warusi wakawa masters of space. Sijui sasa hivi hali ya balance of power iko vipi kati ya America na Warusi,lakini wakati ule Warusi walikuwa undisputed leaders of the world,and it was all a secret to everyone in the world.
Ndiyo maana,Wamarekani baada ya kutua kwenye mwezi,mara mbili tatu,wakazuiwa kwenda kule tena. Ndiyo maana Red China ikaruhusiwa kuingia katika Security Council. Wamarekani walikuwa dhaifu,walikuwa wanahitaji Wachina to counter balance the power of Russia.
Jimmy Carter alikuwa anaumwa Cancer. He would have died anyway. Lakini ni makosa kumuua. He was shot between the eyes. Ni makosa mumuua. Many Presidents have died while they were in power. Lakini ndiyo matatizo ya hawa Freemasons and Illuminati people,they don't think stright,they are very satanic.
 
It should be a dream ................................ or a Hollywood Movie!!
 
Siasa za white house ya US zinakaa JF international forum. Hapa tuachie sinema zetu za ESCROW,'KATIBA' YA NYOKA MAKENGEZA, NA TUEZI ZENYE MLENGO wa Hhashk Ma-al-jinuunh !
 
Ni ngumu sana kumuelewa Andrew Nyerere kama unasoma kama gazeti.
Hofu yangu yule jamaa wa tezi dume asije kuwa alirudi kama robot.
 
moderator wapo likizo hivi hii IPO sehemu sahihi mbona inaharibu jukwaa hili
 
Back
Top Bottom