watu wengi hawaipendi chadema kwa kuwa wanazidi kinyonga tabia. badala ya kuiita chadema tuiite chadomo party.
hatuwezi kuwa na chama ambacho kina double standards.
1. kudai kupambana na ufisadi lakini wanafanya kinyume chake.
ushahidi: halmashauri ya karatu imefanya ufisadi wa kutisha, wabunge akiwemo mwenyekiti wanachukua posho ambapo chama kiliazimia kuacha kuchukua posho ila kupunguza matumizi, kujikopesha fedha za chama ovyo, kiongozi kambi ya upinzani kwenda kisiri na kinyemela na kuchukua shangingi alilolikatia kabla.
2. kusema hawawezi kuunda kambi ya upinzani na ccm B na kukataa ushauri wa spika halafu ghafla wameunda ukawa.
3 kumbania David Kafulila na kudai afai kuwa kiongozi, ghafla tena wanamkubali kuwa waziri kivuli wa kambi rasmi ya upinzani.
kukipa chama madaraka ambacho hakina msimamo kwa kile inachokisimamia ni hatari kubwa.
Leo wanasema hiki kesho wanageuka wanasema vingine.
Cuf = waliberali, chama cha ushoga,CCM B
NCCR= pandikizi la ccm, collaborator wa Tiss, wasaliti
Leo Cuf,Nccr= makamanda, wapambanaji,ukawa.
SHAME!!!!!