Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Ndio kutapatapa kwa ccm kumeanza huku hakuna namna watanzania wamewachoka tuu
Bawacha mnamatusi kama nini du!
aibu ni kipimo cha utu laiti ungekua na chembe ya aibu usingepoteza muda wako kuandika ujinga huu nakushauri kama shida yako ni kuandika humu jf uonekane andika mambo ya michezo,mahusiano na hata jokes vile maana kwenye siasa umepwaya sana kaka.
Watu wengi hawaipendi chadema kwa kuwa wanazidi kinyonga tabia. badala ya kuiita CHADEMA tuiite chadomo party.
Hatuwezi kuwa na chama ambacho kina double standards.
1. Kudai kupambana na ufisadi lakini wanafanya kinyume chake.
ushahidi: halmashauri ya karatu imefanya ufisadi wa kutisha, wabunge akiwemo mwenyekiti wanachukua posho ambapo chama kiliazimia kuacha kuchukua posho ila kupunguza matumizi, kujikopesha fedha za chama ovyo, kiongozi kambi ya upinzani kwenda kisiri na kinyemela na kuchukua shangingi alilolikatia kabla.
2. Kusema hawawezi kuunda kambi ya upinzani na ccm B na kukataa ushauri wa spika halafu ghafla wameunda ukawa.
3 Kumbania David Kafulila na kudai afai kuwa kiongozi, ghafla tena wanamkubali kuwa waziri kivuli wa kambi rasmi ya upinzani.
Kukipa chama madaraka ambacho hakina msimamo kwa kile inachokisimamia ni hatari kubwa.
Leo wanasema hiki kesho wanageuka wanasema vingine.
CUF = waliberali, chama cha ushoga,CCM B
NCCR= pandikizi la ccm, collaborator wa Tiss, wasaliti
Leo Cuf,Nccr= makamanda, wapambanaji,ukawa.
SHAME!!!!!
Mleta uzi sifa ya binadamu ni kubadilikabadili (subject to change not object to change) na ndio maana unaweza ukamwona mtu mbaya lakini baadae tena mkarudisha mahusiano, hata huku mtaani unakuta watu walitofautiana mitazamo lakini unashangaa mtaani linatokea janga au misiba ambayo inawakutanisha pamoja na inatokea automatically mmepatana kutokana na kuwa pamoja katika ku-deal na changamoto (vingenevyo una roho ya kisasi)
Hakipendwi na mama yako, baba ako na wewe,
Watu wengi hawaipendi chadema kwa kuwa wanazidi kinyonga tabia.
1. Kudai kupambana na ufisadi lakini wanafanya kinyume chake.
ushahidi: halmashauri ya karatu imefanya ufisadi wa kutisha, wabunge akiwemo mwenyekiti wanachukua posho ambapo chama kiliazimia kuacha kuchukua posho ila kupunguza matumizi, kujikopesha fedha za chama ovyo, kiongozi kambi ya upinzani kwenda kisiri na kinyemela na kuchukua shangingi alilolikatia kabla.
2. Kusema hawawezi kuunda kambi ya upinzani na ccm B na kukataa ushauri wa spika halafu ghafla wameunda ukawa.
3 Kumbania David Kafulila na kudai afai kuwa kiongozi, ghafla tena wanamkubali kuwa waziri kivuli wa kambi rasmi ya upinzani.
Kukipa chama madaraka ambacho hakina msimamo kwa kile inachokisimamia ni hatari kubwa.
Leo wanasema hiki kesho wanageuka wanasema vingine.
CUF = waliberali, chama cha ushoga,CCM B
NCCR= pandikizi la ccm, collaborator wa Tiss, wasaliti
Leo Cuf,Nccr= makamanda, wapambanaji,ukawa.
SHAME!!!!!
kwa mitusi naama hii hatuwapi kura mtakuwa mnapata kura za wanywa viroba tu
mkuu lipi hapo juu hujaelewa hizo ni facts tupu
wewe ACT msaliti acha kujitoa akili,si mumfuate zitto kigoma akawasaidie hela ya kula na nyinyi mumsaide puppetinism,kuliko kukaa humu ukikomaza vidole kwenye IT bila malengo cdm mmetimuliwa na bado mnaweweseka?Ukiwafatillia sana hawa viongozi wa chadema utagundua kuwa nao ni wezi tu!