Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
- Thread starter
-
- #21
piteni Sam Nunjoma usiku ndio mtajua naongelea nini
Wachina kwanza kuweka zile taa za ECO-FRIENDLY na zinawaka utafikiri uko Shanghai na zinatumia solar...of course mlingoti wake utauona ulivyo mzito.
Point yangu kuhusu taa za bilicanas ilikuwa inaonekana kuwa ni idea nzuri lakini ukweli ni kuwa inaonekana kuwa FREEMAN MBOWE na ZADOCK supplier wao ni mmoja zile taa ni za residental/private na wala si za public areas kama bara barani
Listen GT, dont compare bananas and coconuts (Sam Nujoma na bibi tit) etc... the sources of funds are different, nature of contracts are different na hata lami ya bibi titi na ya sam nujoma ni tofauti
You have a good point lakini huna substance ya ku-justify, na hizo justification zipo na zilianza hata kabla ya Kimbisa kuwa meya.. it was part of innovative PPP as said before. Yalikuwa ya Makamba na Sykes era
Sasa ndani ya PPP tuna issue ya quality, kwa hiyo hayo sa sam nujoma sam nujoma haya-hold water because of contracts nature and values. Hilo la Bills sisemi maana ulianza zamani mara kwa washamba, mara hili mara lile
Get your facts vizuri ili utusaidie watanzania na sio kuanzia kiunoni... If we are not careful, we may dilute the word fisadi kuwa kama tapeli na tukashidwa kulaani matendo yake
C'mon dig deep and come up with good diamond to share maaannn
Point yangu ni kuwa taa zinazowekwa bara barani na makampuni binafsi ya utangazaji mojawapo ikiwa ni ya zadock zina viwango vya hali ya chini ukilinganisha na zile zilizowekwa na wachina sam nunjoma
sasa kama kuna mtu anaona zina viwango vya juu then sawa tuu kwan hata rada iliponunuliwa tuliambiwa ni ya kisasa lakini sasa hivi tunaspend mamilioni kutaka kujua ilikuwaje tukanunua rada mbovu
Ewaaaa;
Now you are talking, nobody disagreed kwamba zile taa ni duni, tatizo ni title yako then ukahamia kwenye mabango ya selasie, then mbowe basi! zile taa may not be up to quality na kama umenisoma vizuri nikazungumzia mpaka tiles, magari, ndege, meli treni nk. Na hata wewe inawezekana ulivyoagiza toka china recently ni substandard ila ndio uwezo wako (karibu saana)
Kumbuka hata lami ya europe na kwetu si sawa
Unapoanza na zadock na kimbisa tunakuwa na wasiwasi maana siku hizi laki tu mtu ananyanyua kinywa... si ndio bongo yetu ati... kuanzia vitu mpaka watu vyote mashaka tupu
mjomba taratibu
haile selasie,nje pale bilicans,sam nunjoma ilikuwa ni mifano tuuu sasa sijui ulitaka nizungumze bila mifano?
Pili sijui umetoa wapi taarifa kuwa nilivyoviagiza from China ni substandard lakini nijuavyo mimi ni kuwa sina biashara yoyote ile inayohusiana na milingoti au mabango ya matangazo from China...hebu fafanua ulikuwa unamaanisha nini hasa
Nilipomtaja Zadock ni kwa sababu amekuwa akilalamikiwa na wafanyakazi wa chini jiji kuwa kwa sababu anatembeza pochi ni vigumu kuquestion hata quality ya kazi au vitu anavyogawana na jiji...mfano aliwaambia jiji kuwa angeweka taa barabara ya maji machafu mpaka kwa nyerere kwa sharti kuwa aruhusiwe kuweka mabango ya matangazo...sasa sina uhakika na ukweli kwenye hili lakini ndio maarufu sana kwenye duru za maongezi ya mabango Dar...the question is je where do these people stop? lakini usiwe na taabu ndio serikali hii hii ambayo ilisaini mikataba ya madini na leo hi watu wako hayaaaaaaaaaaaaa bora tungewaita wataalam wa hii mikataba...
I repeat I cant knock Zadock's hustle lakini hali kama hii inatisha
sasa kuhusus PPP nitarudi baadae ili kukujibu ipasavyo
Jamani mwenye profile yake tafadhali
It is pity ma engineer wamekuwa kama watazamaji. Sioni mchango wao kuboresha mambo mengi.Au ndo wanajituma pale tu penye uwepo na vijisenti kama tenders na kubomoa nyumba za dampo?I know Zadoc to be a man of very good quality products. How can anything related to him be of such poor quality. Na hao inspectors na ma engineers wa City, how could they accept such poor quality product. It really leaves one guessing there could be a hand of Ufisadi somewhere. Hey Tanzania, we are past this now tuendelee tuache ubinafsi so obvious
It is pity ma engineer wamekuwa kama watazamaji. Sioni mchango wao kuboresha mambo mengi.Au ndo wanajituma pale tu penye uwepo na vijisenti kama tenders na kubomoa nyumba za dampo?
Welll, well, well... Thats a good one GT;
Yes they may be substandard, but even those sub-standards were not there a few months ago na jiji limeshindwa hata ku-repair za zamani. My big questions is "do we have to remove them or reject them rather?" au tukubali nusu shari at least ma-bar maids wetu wasibakwe ? na wasafiri wa usiku waweze kubadilisha tyres na kuongeza maji kwenye rejeta zao?
YEs, ni sub-standard... lets propose alternative na tufanye upembuzi wa gharama halisi kisha tuziweke;
Tanzanians never stop to amaze themselves, Tiles na vifaa vingi vya ujenzi nyumbani from china substandard, magari - used, ndege - used, treni - used, meli/vivuko - used, majumba - substandard, lami barabarani - substandard...Duh
GT nice try buddy!! ...connecting the dots, hasa nikikumbuka ulimuulizia Nambua, sasa na hili la kimbisa, then Zaddock probably we'll end to one small guy in Dar [thats where you are heading!!]
Regards to Zabein
neno fisadi lilitokana na neno la kiingereza'MALFEANCE' ,angalia maana ya neno hilo katika dictionary ambayo ni advanced kama ile ya oxford.Hivi maana ya "Fisadi" ni nini hasa?
Ndahani!
Huyu jamaa anasema Zadoc ana quality nzuri zipi? Zadock ni tapeli mzuri sana tunamafahamu tangu anapiga picha mpaka akawaingiza akina Kasambala aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa iliyokuwa Posta na simu katika ile tenda ya kuchapisha vitabu vya simu mpaka alivyoweza kujenga ile nyumba pale Shaurimoyo !
Na katika awamu ya pili jinsi CCM walivyomwezesha kwa kupitia printing na kutengeneza fliers za kampeini. Huyo Kimbisa mnayemwita Mayor alikuwa anauza Mayai na baada ya kukwapua mamilioni ya Red Cross ameingia kwenye siasa naye ni msani na mwizi ! Ni aibu kumwita Alhaji!!!
Tatizo kubwa la huyu Zadock mwanaharamu ni elimu amefikia kuweka residence kule SA akidhani ni kuzuri bahati mbaya hakumbuki alikotoka akipiga picha mitaani miaka ya themanini!
Kama waziri mkuu ni kilaza ambaye anasimamia tamisemi ambayo nayo ni tatizo. Kama humfahamu mtu vizuri then ni bora kukaa kimya.
http://2.bp.blogspot.com/_HO8ijU76ZcQ/Svp6-lnPGBI/AAAAAAAA0Pg/j9rOsBodWZA/s1600/SANY4892.JPG
moja ya nguzo chache za taa za barabarani mtaa wa bibi titi mohamed street ukiwa hoi baada ya kupigwa daflao siku chache zilizopita. jeshi jipya la polisi jiji mpo??