Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,126
Kuuza Chai Ni Kupiga Soga na Kuzungumza yale usiyo na Uhakika nayo (Waulize Vijana wa Mlimani). Inaonekana Mkuu Umekurupuka hata hujapiga mswaki ukaweka hilo Tundiko Lako.
Note:JF ni mahali pa watu wanaopenda kufikiri kabla hawajatundika lolote.
BTW Karibu Jamvini kata ishu na siyo Story wala Matukio Mkuu!
Asante
Huyu ndiyo Muzachai wetu.
Wacheni kumsulubu MuuzaChai,hivi kosa lake ni lipi ? Au kwa kuwa tu hali yake na umasikini wake ndio mnaoutumilia kumdharaulisha ,si kila mtu anaweza kupata source za habari na ushahidi wa maandishi ,ila hata tetesi zinatosha kabisa kuwa anachokizungumza kina ukweli flani flani,kushindwa kwake kuweka ushaidi isiwe wala isionekane kuwa hakuna tatizo ambalo amekusudia kuliwakilisha.
nimesema hivi mengi, rostamu. sonia, manji, patel. jeetu, hawa wote ni mafisadi
Muzachai, you just registered to put this!?
Mheshimiwa , babu aka kijana wa zamani reginald mengi nani asiejua ufisadi wako. ufisadi wa mengi ni huu hapa.
1: kampuni yake ya vinjwaji hailipi kodi
2: mishahara yake ya ipp media ipo ya ina mbili
a: kuna watu wanaochukua pesa dirishani kila mwezi kwenye baasha tu na wana zaidi ya miaka kumi ya kazi. hawana PAYE wala NSSF
b: kuna watu wanaochukulia mshahara benki na kukatwa shahiri zote yaani PAYE and NSSF ambao hawazidi hata mia ukilinganisha na wafanyakazi ambao kampuni inao
3: TRA hawa audit wala kufatilia mambo ya mengi
mfano halisi mwaka jana alipowachisha kazi watu ilikuwa balaa tupu.
JAMANI SINA NIA MBAYA NA LAKINI HIZI NI TATU KATI TA MATENDO 1000 YA UFISADI YA MENGI NITAENDELEA WIKI IJAYO WIKI END NJEMA
ROSTAM, SOMAIA, MANJI, PATEL, JEETU HAWA NDIO SOURCE YA UMASKINI BONGO BILA KUWASAHAU WENGINE.
UNAPOMNYOOSHEA MWENZIO KIDOLE KIMOJA AMBALIA KWAKO VINGAPI VINAKUNYOOSHEA WEWE
NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE
nimesema hivi mengi, rostamu. sonia, manji, patel. jeetu, hawa wote ni mafisadi
Wacheni kumsulubu MuuzaChai,hivi kosa lake ni lipi ? Au kwa kuwa tu hali yake na umasikini wake ndio mnaoutumilia kumdharaulisha ,si kila mtu anaweza kupata source za habari na ushahidi wa maandishi ,ila hata tetesi zinatosha kabisa kuwa anachokizungumza kina ukweli flani flani,kushindwa kwake kuweka ushaidi isiwe wala isionekane kuwa hakuna tatizo ambalo amekusudia kuliwakilisha.
Kama imeamuliwa kuwa JF ni jukwaa la Jamii ,hivyo yeye kama mwanajamii anayohaki ya kuandika kile anachokiona kimetokea na huenda pengine yaliomkuta hayo aliyokusudia kuyaeleza yametokea kwa ndugu,jamaa au rafiki yake ,sasa kama kuna watu wameamua kufanya haki kwa kila mtu na wana uwezo wa kuyafuatilia mambu ,hao itakuwa jukumu lao kuzamia na kutoa yalioko huko kulikoshutumiwa.
Ila kama wengi mliomtisha na kumdharau Muuza Chai ni wa kabila la Mengi ,ni watu wa karibu na Mengi,mnafaidika na mapato ya Mengi hapo mtakuwa hamtendi wema kwa kumvurumishia maneno Muuza Chai , mnaonyesha ni watu mliojaa dharau kwaq wengine kwa kuwa tu ni masikini na hawana wa kumsikitikia na kueleza shida zao ,kama kujiunga kwa Muuza Chai hapa JF ni katika kuona kuwa JF ni sehemu ya kupeleka kilio Chake na kuona wahusika wanafuatilia malalamiko yake bila ya upendeleo ,kwa nini hutimizi wajibu wako katika kumsaidia Muuza Chai na hoja zake na kumpa kilicho na uhakika ambacho huenda hana uelewa kuliko kuzidi kumtia unyonge ,mwenyewe ametoka huko kwa furaha kuelekea JF na kujipa matumaini kuwa hata Mengi ni fisadi na kueleza kile anachokijua akitumaini haki anayoililia itapigiwa makelele hapa JF ,wacheni kulinda manyang'anyi.
Muzachai tuambie hivi kweli rost am anataka kulipwa shi'ng moja
MAPAPA YA UFISADI YANA RANGI ZOTE RANGI
Ila kama wengi mliomtisha na kumdharau Muuza Chai ni wa kabila la Mengi ,ni watu wa karibu na Mengi,mnafaidika na mapato ya Mengi hapo mtakuwa hamtendi wema .
Inawezekana Mengi si safi lakini wachafu ukiwapanga pamoja ataonekana aliyezidi. Mengi japo hajafanya kitu kipya kuwataja hawa jamaa ambao humu tunawafahamu kwa mapana, amekuwa ni mtu wa pekee toka kada ya wafanyabiashara kusema hadharani.
Muzachai tuambie hivi kweli rost am anataka kulipwa shi'ng moja
MAPAPA YA UFISADI YANA RANGI ZOTE RANGI
acha uhuni wewe umetumwa na manji kama wanaccm wa Tabora wakawa hawajui wanachoongea wakatoka nduki.