Ufisadi wa Kampuni ya Umeme ya Kalpataru: Vigogo wa Tanesco na wizara ya Nishati matatani

FAKE NEWS

Member
Feb 16, 2017
59
160
Mheshimiwa Rais Magufuli aliposema tuendelee kumwombea hakukosea kwa kweli

Huku anahangaika na jinamizi la IPTL, kule Tanesco watu wake tayari na wanaendelea na yao na wanapiga kama kawaida huku wanajua hii kampuni na rushwa ni sawa na samaki na maji

Kiasi makamau wa rais wa hii kampuni aliuwawa lakini jamaa wa Ubungo na wizarani wanajifanya haiwahusu.

Hongereni sana vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi mnayofanya.
 
Kweli wewe "FAKE NEWS"
 
Back
Top Bottom