wORKING WITH ccm IL LIKE TALKING WITH godfathER (mARIO pUZO), YOU CANT REJECT HIS OFFER.
Whose offer mkuu? Or rather I should put it this way "which offer" mkuu?
wORKING WITH ccm IL LIKE TALKING WITH godfathER (mARIO pUZO), YOU CANT REJECT HIS OFFER.
Mil.200 kutembea tu?kuna ajenda imefichika hapa
Mkuu, asante kwa mchanganuo lakini you are missing the point by a mile!Huyo mkuu wa mkoa aseme kuwa alitegemea hiyo safari ifanyweje?kwani hapa njia pekee ni kupuguza watu a kuwaleta wataalamu wa Kigali wakiw ana video napolice zao waje wafundisha moshi.Ila kama alipiga chini project na hakuwa na mbadala kachemsha.Kwa moshi Mji unaoongoza kwa usafi TZ na wana sheria kali sana, usafi ni issue ya kila siadhani kama kuna diwani ambaye ambaye angekuwa tayari kosa wakati ana jukumu la kurudi simamia usafi katk kata yake.
Njia ya kuwaleta wataalamu au hata kupeleka madiwani wachache nighali zaidi.Kwani hao waliokwenda wangetumia hela karibu robo,na wakirudi walipwe posho kuwafundisha wengine ambao nao wangehitaji posho.Na hata kuleta wataalamu hata watatu tuu ni gharama kuwalipa na pia kuwalipa hao madiwani posho zao.Yoote haya pia haya gurantee mafanikio ya zoezi hilo.
Kwa hiyo idadi ya watu na hiyo hela kama ingetosha kuwapa na osho bado ni matumizi yasiyoogopesha kama mawizarani:
Million 200 si hela kama mnavyodhani.kwa watu wengi hivyo kwenda nje ya nchi.
-hela/watu =>Mil 200/57=3.5087719mil/per person
-mil 3.51 au 3,510,000/= 3,510,000/1600=$2,193.75/pp
-hela kwa siku kwa kila mtu. katika week(assuming 7 days)=> $2,193.75/pp/7=$313.393per person, per day.
Bei ya hotel yenye ubora Kigali ni around $200 per person per night. na inaweza zidi sana.Achilia mbali matumizi mengine,kama stationery,phone,internet, transport etc.Tz yenyewe hotel zinazidi $ 2,000 kwa siku,hata kama kitazidi ni kiasi kidogo ambacho mtu alistahili baki na kitu hata cha kuleta zawadi kwa familia.
Seems ni msukumo wa kisiasa kuliko akili.
Kwani viwango vya per diem vya serikali kuu kwa mtu akiwa nje ya nchi kwa ukanda wa africa mashariki na kati ni zipi?
Hakuna anayeleta habari yenye uhakia hapa . Naona tu ushabiki wa CCna CDM. Hata topic yenyewe imejaa ushabiki wa ccm kama ilivo kawaida ya mtoa mada. Watu wa ccm humu ndani engi wso wamejsa ushabiki wakitafuta mlango wa kutokea na kuibana CDM. Sijaridhika na ujweli wa habari hii mpaka nipate habari huru.
Mkuu huna uhuru wa kutoa maoni mpaka uwe informed.Hakuna anayeleta habari yenye uhakika hapa . Naona tu ushabiki wa CCM na CDM. Hata topic yenyewe imejaa ushabiki wa ccm kama ilivo kawaida ya mtoa mada. Kuna watu wa ccm humu ndani wamejaa ushabiki wakitafuta mlango wa kutokea na kuibana CDM. Sijaridhika na ukweli wa habari hii mpaka nipate habari huru.
Mkuu, asante kwa mchanganuo lakini you are missing the point by a mile!
Safari ya kwenda Kigali kwa Viongozi WOTE wa Halmashauri ya Moshi, is this the MOST pressing problem kwa Moshi?
Au kwa lugha nyepesi -tatizo la Moshi, je ni sawa na kumfundisha ng'ombe kutengeneza maziwa?
Msukumo wa safari hii ni ufisadi-FULLSTOP.
Tuwe na ujasiri wa kueleza ukweli.
Wewe ni gamba mkuu wa mkoa ambae nikada wa Ccm ana hasira za kunyimwa kiwanja eneo la waz katika kata yamajengo eneo la shauri moyo acha kukurupuka fanya utafiti[h=6]Madiwani CHADEMA moshi wanafanya mambo ya aibu, ziara ya kwenda kigali kwa mafunzo kwa milioni 200 wakati hospitali ya mawenzi next door haina x-ray tangu 2010 ni mfano gani huu. Ashukuriwe mkuu wa mkoa kuipiga STOP! Waletewe manual waisome inatosha. Ni muhimu kukosoa kila anayekosa bila kujali chama ulichopo.[/h]
Wewe ni gamba mkuu wa mkoa ambae nikada wa Ccm ana hasira za kunyimwa kiwanja eneo la waz katika kata yamajengo eneo la shauri moyo acha kukurupuka fanya utafiti
[h=6]Madiwani CHADEMA moshi wanafanya mambo ya aibu, ziara ya kwenda kigali kwa mafunzo kwa milioni 200 wakati hospitali ya mawenzi next door haina x-ray tangu 2010 ni mfano gani huu. Ashukuriwe mkuu wa mkoa kuipiga STOP! Waletewe manual waisome inatosha. Ni muhimu kukosoa kila anayekosa bila kujali chama ulichopo.[/h]
Sema hivii, madiwani wa manispaa ya Moshi pamoja na watumishi wa manispaa ya Moshi waliokuwa waende kwenye ziara ya mafunzo wamezuiwa na mkuumwa mkoa.
Usiwe kama unataga mayai makubwa kama ostrich wewe.
Kama unauza sisi hatununui.
View attachment 65255