Asante kwa taarifa nilikuwa sijui, hilo eneo ni la kwake au amepangishwa? na mimi 2015 lazima niutafute uongozi hata kwa rushwa kitaeleweka.
Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.
Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.
Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.
Utatumiwa Rama IGHONDU wewe shauri yako waguze wazee wa MABWEPANDE!! tuuu!!Kupitia kampuni yake ya TRANS AFRICAN LOGISTICS LTD (TALL) ambayo ni bandari ya nchi kavu maeneo ya Kamata, amekuwa akichelewesha mizigo ya wateja kwa makusudi kwa kisingizio cha system ya Ascuda kusumbua ili tu aweze kutoza storage charges kwa wateja.
Haiingii akilini kila siku ascuda iwe inasumbua kwenye yard ya mzee Kinana tu wakati bandari kavu nyingine zikitoa mizigo kama kawaida.
Tunawaomba wahusika kama TAKUKURU, vyombo vya habari, TRA waingilie kati kuokoa bandari yetu ya Dar kwa sababu kuna idadi kubwa ya wateja wanaokimbia na kwenda bandari za Wavis, Maputo na Durban.
wewe ni mhuni na nai mzushi.mimi naitumia sana hiyo bandari ya kinana,sijawahi kukutana na kitu kama hicho.we unatoa wapi huu ukuda wako,au umeamka na njaa???? kunywa kwanza chai ndio ushike keyboard.

Uzushi mtupu.