Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
kwa umbea huu lazima uolewe mwaka huu
Apart from Sun Biofuels Plc of the UK, the companys shareholders are a British national, Julian Ozanne (10 per cent) and Daudi Makobore and Herbert Marwa, Tanzanian nationals who own one per cent each. The TIC requires that any changes in shareholding, project activities and level of invested capital be notified to the centre
Source Sun Biofuels invests $20 million in Tanzania jatropha project
Wamepata msamiati mpya, badala ya 7,000/= wanasema wanalipwa 0.000007 (7E-6) bilioni. Wao deal zao ni bilioni bilioni tu.Aibu yako ni kuwa haujalamba hata shilingi wenzio wanakula Bata wanajenga mahekalu huku wewe unapanda daladala hadi Lumumba kufuata buku 7. Kuwa kijakazi WA watu ni shida kweli kweli
kwa umbea huu lazima uolewe mwaka huu
hadi 2015 October hazina itakuwa nyeupe peee!!
Huo ndo ujinga wa watanzania, 1% ya hisa inasabibisha vijiji kumi kuhamishwa. Hii inanikumbusha hadithi kuwa miti iliangua kilio iliposikia binadamu katengeneza shoka la kukatia miti kwa kutumia mpini wa mti ikisema; 'kama mti umetumika katika nyenzo ya kukatia miti basi miti itakwisha'Hivi huyu jamaa si ndio alipewa hekari 9,000 na baba yake mkwe Kisarawe baada ya vijiji 11 kuhamishwa?
hadi 2015 October hazina itakuwa nyeupe peee!!
kwa umbea huu lazima uolewe mwaka huu
Yule kigogo alotajwa na olesendeka kwamba ni mtu mzito hapa ikulu ambae alichukua dola milioni 5 cash stanbick bank baada ya BOT kuzipeleka pesa za escrow kwenye akaunt ya PAP anaitwa Mtawa. Ambae ni msaidizi wa rais hapa Ikulu.
Lakini pia yule kigogo alotajwa kuwa alituma nje ya nchi dola laki2 mara 10 sawa na dola milioni 2, kisha standard chartered bank na hivyo kustukiwa na kitengo cha udhibiti wa fedha haramu ni Albert Marwa ambae ni mkwe wa JK.
Ameoa mtoto wa JK. Na kwamba bada ya kutafutwa kuhojiwa kuhusu fedha hizo alikimbilia Nje ya nchi inasemekana kwasasa yuko Uingereza.
Lakini pia baada ya Kafulila kulipua bungeni mara ya kwanza Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO alionekana seacliff hotel na singasinga Sethi.
Walioshuhudia kikao hicho ni wahariri wawili wanaofuatilia kwa karibu sakata la Escrow mmoja akiwa anandikia jarida la Economic Intelligence.
Mwananchi CL wameshitakiwa na wamedaiwa fidia ya trioni 8 kwa kuandika habari zao, sipati picha wewe utadaiwa kiasi gani.
kumbe kuza na mtoto wa jk ni deal hivi wamebaki wangapi na mm nikajaribu bahati kabla baba mkwe haja hajastaafu.
hivi wewe mpaka leo bado huna akili? Kweli akili ni nywele.