Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,143
- 2,547
Wakati Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, January Makamba, alitarajiwa kukutana na wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) jana, viongozi wakuu wake wanatuhumiwa kufanya ufisadi unaoiangamiza kampuni hiyo ya umma.
Kila mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi analipwa Sh. milioni moja kwa siku; hizo zikiwa nje ya marupurupu mengine.
Pia imebainika kuwa mamilioni ya shilingi hupotea kutoka kwenye makusanyo ya kanda, huku Dar es Salaam ikiwa kama kitovu cha ufisa huo.