UFISADI TFF: Malinzi mwogope Mungu, Fedha za TBL dola 425,000 umezichota kutoka akaunti hizi

Malinzi ameharibu mchezo wa mpira kabisa.wadhamini wanakimbia kutokana na ubabaishaji
 
Feedback ya haya maelezo kutoka kwa mh ilikuwaje mkuu?
Mwesigwa alikwenda Dodoma kuonana na Waziri Mkuu, Mh Kassim Majaliwa kuomba awalinde kwani Takukuru wamezidi kuwaandama kila kukicha
 
Aisee Imekaa vibaya-kal P.

Malinzi kaa pembeni pisha uongozi Mpya.
 

Wewe naona unaleta porojo tu hapa na sijui lengo lako ni nini? TAKUKURU inasema wanafanya uchunguzi wewe unasema wanachelewa sana kufungulia mashtaka yaani wewe unajifanya ni Hakimu, wazee wa baraza na mnyongaji all rolled in one!!! Wewe unajuaje kwamba hizo fedha hawajazitolea maelezo ya kuridhisha kwa TAKUKURU, mtu ukisoma tu maelezo yako yanaonekana wazi wazi unasukumwa na chuki binafsi, huko obsessed na Malinzi na Mwesiga basi, sio kwamba nawatetea lakini usianze kuhukumu watu kwa kutumia hisia tu.
 
Reactions: SDG
"Taarifa za ndani ni kuwa wiki iliyopita Mwesigwa alikwenda Dodoma kuonana na Waziri Mkuu, Mh Kassim Majaliwa kuomba awalinde kwani Takukuru wamezidi kuwaandama kila kukicha na hii inaonekana kuwaogopesha Takukuru kuwapanidisha kizimbani ukizingatia uchunguzi wote walishakamilisha."

Hii para ina utata. Ina maana huyo mkuu huko Dodoma ana mamlaka hayo??? NASHANGAA TU KWA SAUTI KUBWA
 
Reactions: SDG


YAMETIMIA!
 
Reactions: SDG
Bado msimamo wako ni ule ule kua mleta mada ana chuki Binafsi na Malinzi na mwenzie Mwesiga??
 
YAMETIMIA!

 
Hapa naenda mbali na kuwaza kwa sauti juu ya fedha za Rugamarila wa ESCROW zaidi ya Tzs 306 Bn. Hawa jamaa hatari sana
 
Hili jamaa kumbe jambazi kabisa?! Aise mafisadi na UFISADI kila kona, mbona hii nchi ilioza!
 
Tunahamasishwa tuichangie Serengeti Boys kumbe watu wanabunya tu hela za FIFA na TBL kiulaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…