aliya
Member
- Aug 11, 2022
- 20
- 14
Malipo ya nauli wamewalipa wachache eti ela wameingiziwa kidogo Toka serikali kuu,naomba waziri mwenye dhamana toka TAMISEMI kama umeona hili uje utolee ufafanuzi haya yanafanyika Halmashauri ya Tandahimba mkoa wa Mtwara.
Kama ni kweli toa majibu maaana uku Kuna vurugu za hatari kati ya waliolipwa na wasio lipwa na walistahiri.
Kuna tetesi kuwa ela zote zimeingizwa ila viongozi wamenunulia korosho na bango halijatoka,ila kwa nini ela za watumishi na stahiki zao wabadilushe matumizi?